Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

Last edited by a moderator:
Kwa nini Allah aumbe watu halafu awafanye mioyo yao migumu kumjua, kisha awahukumu watu hao hao aliowafanya mioyo yao migumu kumjua yeye mwenyewe, kwa kuwachoma motoni?

Huyo Allah mbona muonevu hivyo?

Allah katika kitabu chake kitakatifu Quran anasema ''Hakika nimemuumba mwanadamu katika umbo lililo bora'' akatupa akili na maarifa kuweza kupambanua mambo na kufahamu lipi baya na lipi zuri.

Akaleta Mitume katika umma na zama mbali mbali ili kuja ulimwenguni kutufundisha wanaadam namna ya kumtambua Allah. Mitume hii Allah aliileta pamoja na miujiza na dalili mbali mbali ili wanaadam apate kufahamu uwepo wa Allah na kumuabudu.

Mfano mzuri ni mbingu ambazo huoni mwanzo wala mwisho na zimesimama katika dhati yake hakuna nguzo mahali, bahari ambayo imetanda ulimwenguni na kuacha visiwa ambavyo sis tunaishi, jua kutoa mashariki na kuzama magharibi, uwepo kwa usiku na mchana nk. lakini pia Allah ameteremsha Quran takatifu kitabu chake ambacho mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuweka mkono wake ama kufananisha maneno yake.

Kwa dili hizo sidhani kama kuna mtu ambaye ataweza kuwa na moyo mgumu halafu asiweze kumtambua Allah. Allah ametuumba tukiwa waislamu ila maadili na upotevu wa sheitwan na uvivu wa kutokusoma tukaujuwa uislamu ndio tunasema kuwa Mungu ametuumba na moyo mgumu wa kutoweza kumtambua na kumfahamu Allah.

Inshaalah kwa maelezo haya mafupi utakuwa ni mwenye kuusoma na kuujuwa uislamu ili tuweze kuufuata kumjuwa mola wetu ili tumuabudu na hatimae tuwe wenye kungia peponi bila ya hesabu Inshaalah.
 
Allah katika kitabu chake kitakatifu Quran anasema ''Hakika nimemuumba mwanadamu katika umbo lililo bora'' akatupa akili na maarifa kuweza kupambanua mambo na kufahamu lipi baya na lipi zuri.

Akaleta Mitume katika umma na zama mbali mbali ili kuja ulimwenguni kutufundisha wanaadam namna ya kumtambua Allah. Mutume hii Allah aliileta pamoja na miujiza na dalili mbali mbali ili wanaadam apate kufahamu uwepo wa Allah na kumuabudu.

Mfano mzuri ni mbingu ambazo huoni mwanzo wala mwisho na zimesimama katika dhati yake hakuna nguzo mahali, bahari ambayo imetanda ulimwenguni na kuacha visiwa ambavyo sis tunaishi, jua kutoa mashariki na kuzama magharibi, uwepo kwa usiku na mchana nk. lakini pia Allah ameteremsha Quran takatifu kitabu chake ambacho mpaka leo hakuna mtu aliyeweza kuweka mkono wake ama kufananisha maneno yake.

Kwa dili hizo sidhani kama kuna mtu ambaye ataweza kuwa na moyo mgumu halafu asiweze kumtambua Allah. Allah ametuumba tukiwa waislamu ila maadili na upotevu wa sheitwan na uvivu wa kutokusoma tukaujuwa uislamu ndio tunasema kuwa Mungu ametuumba na moyo mgumu wa kutoweza kumtambua na kumfahamu Allah.

Inshaalah kwa maelezo haya mafupi utakuwa ni mwenye kuusoma na kuujuwa uislamu ili tuweze kuufuata kumjuwa mola wetu ili tumuabudu na hatimae tuwe wenye kungia peponi bila ya hesabu Inshaalah.

Katika Quran hiyo hiyo kasema.kwamba wengine atawapa neema wamjue, wengine atawafanya mioyo yao iwe migumu wasimjue hata wakijitahidi vipi.

Hujanijibu swali.

Sasa kama Allah anaamua.mwenyewr nani ampe neema ya kumjua yeye Allah, na nani wa kumfanya moyo wake uwe mgumu kumjua yeye Allah, inakuwaje tena Allah amhukumu huyu ambaye hajamjua Allah (kwa sababu Allah kaufanya moyo wa mtu huyu kuwa mgumu)?

Allah anahukumu watu kwa kutomjua kwa sababu yeye mwenyewe kawanyima neema ya kumjua?

Huu si uonevu huu?
 
Back
Top Bottom