Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

Tetemeko la ardhi limepita hapa Arusha

M5.1 - 55km SSE of Kondoa, Tanzania 2014-10-31 17:04:58 UTC

[h=3]Event Time[/h]
  1. 2014-10-31 17:04:58 UTC
  2. 2014-10-31 20:04:58 UTC+03:00 at epicenter
  3. 2014-10-31 13:04:58 UTC-04:00 system time

[h=3]Location[/h]5.365°S 35.966°E depth=10.0km (6.2mi)

[h=3]Nearby Cities[/h]
  1. 55km (34mi) SSE of Kondoa, Tanzania
  2. 92km (57mi) NNE of Dodoma, Tanzania
  3. 105km (65mi) NNW of Kongwa, Tanzania
  4. 114km (71mi) SSE of Nangwa, Tanzania
  5. 399km (248mi) WNW of Dar es Salaam, Tanzania
hii ndio nini sasa wabongo bana popote tulipo dunian tabia ni ile ile Tu. Nazan hii ni genetic. Maliza kubeba boksi kwanza halaf uje vizur. Sasa mwanajamv was yombo buza akisoma hii hatakuelewa kwel. Nyambaff zetu!!!
 
mjani wa arusha huo... majiran woooote wasijue n tetemeko ujue ww peke yako??? wote wanasena lory limepita! kumbe ww na bangi zako ukajua tetemeko!!

Ahsante mkuu ila bahati mbaya sipo Arudha na mara ya mwisho kupita tetemeka hapa nilipo ni zaidi ya miaka kumi na sidhani kama natafuta sifa kwa mtu maana hapo JF si wote tunaojuana kingine unachotakiwa kujua japo si lazima hapa TZ kuna watu ambao hawalijui kabisa zaidi ya kuona hasara zake kwenye TV
 
hii ndio nini sasa wabongo bana popote tulipo dunian tabia ni ile ile Tu. Nazan hii ni genetic. Maliza kubeba boksi kwanza halaf uje vizur. Sasa mwanajamv was yombo buza akisoma hii hatakuelewa kwel. Nyambaff zetu!!!

Hiyo kama ulikimbia umande tatizo ni lako wewe na wala si langu mie.

Kama umefuta ujinga hata kwa njia ya elimu ya watu wazima si shida kuelewa.
 
acha ngebe kijana kuwa mpole tu. Wabongo wengi ambao hawajakimbia umande ni ovyo kaa wewe ndio maana jiji letu la dar hamna maji safi na salama. Acha haraka maliza kubeba boksi Kwanza jipange halaf uje vizur utaeleweka tu. Hiz ngebe za kutafuta sifa jamvin et ww msomi acha. Unacopy na kupesti data mtandaoni mwanajamv wa mwalusembe mukuranga makoroboi chamwino kwa mtogole na mbauda hatakuelewaje na hizo data? ?jipange. Nyambaff zetu!!!
 
Unanilaumu mimi kwa uninga wa mwingine?
 
Unanilaumu mimi kwa uninga wa mwingine?
ndio maana nakusihi maliza kubeba boksi kwanza. Halaf utulize kichwa jipange vizur. Uwe manufaa na msaada kwa wanajamvi wa keko maburuganzi tandale kingzudu mbagala chanika mburahati
 
Hujajibu swali.
 
huku limepta likasimama tumesalimiana nalo.litarudi next week ya week ijayo!
 
Event Summary
Date/Time
(UTC) Oct. 31, 2014, 5:04 p.m.
(4 hours ago)
Location Tanzania
Magnitude MB 5.1
Latitude 5.3647° S
Longitude 35.9655° E
Depth 10.0 km

Tetemeko liliotokea masaa manne yaliyopita, lilikuwa na magnitude ya 5.1 kwenye reichter scale.
 
ndio maana nakusihi maliza kubeba boksi kwanza. Halaf utulize kichwa jipange vizur. Uwe manufaa na msaada kwa wanajamvi wa keko maburuganzi tandale kingzudu mbagala chanika mburahati

Ina maana watu wanaokaa hayo maeneo hawajasoma eeh?!.
Sidhani kama kuna ukweli hapo.
 
Event Summary
Date/Time
(UTC)Oct. 31, 2014, 5:04 p.m.
(4 hours ago)
LocationTanzania
MagnitudeMB 5.1
Latitude5.3647° S
Longitude35.9655° E
Depth10.0 km

Tetemeko liliotokea masaa manne yaliyopita, lilikuwa na magnitude ya 5.1 kwenye reichter scale.

Shukrani mkuu kwa kitujuza.
Ritcher scale.
 
Tetemeko limepita muda huu hapa Arusha. Yaani niko naangalia taarifa ya habari, nilipokaa panatetemeka mpaka nikatoka nje mbio.. sijajua litakuwa na kipimo gani!! Ila ni likubwa.

Mkuu upo sehem gani.. Mm npo Sakina hapo around triple A mbona sijasikia kitu
 
linaelekea wapi? nipo moshi hapa nimekaa uwanjani kuogopa madhara
 
Allah ni Mwenyenzi Mungu ambaye ameumba mingu na ardhi na kila kilichomo ndani yake,Allah ndie Mola ambaye hakuna anayepaswa kuabudiwa kwa haki isipokuwa yeye.

Yeye ndie ambae ametuumba sisi binaadam, malaika, majini nk. pamoja na Mitume na Manabii akiwemo Nabii Issa, Mussa Adama,Nabii Ibrahim, Mtume Muhammad nk rehema na amani ziwe juu yao kuja kwetu sisi kutufundisha njia sahihi ya kuweza kumtambua Allah kupitia dini ya Kiislam kama ilivyothibitishwa katika kitabu kitakatifu cha Quran Allah anasema ''Nimekuchagulieni dini yenu kuwa ni dini ya kiislamu''

Allah ndie ambaye ametengeneza pepo na moto, watu wabaya ambao walifuata dini isyokuwa ya kiislamu wataingia humo (motoni) milele na milele na pepo kwa watu wema ambao walimcha M/Mungu pasina kumshirikisha wakafuata na kutekeleza yale yote aliyotuamrisha Mtume wetu Muhammad (s.a.w)ikiwa ni pamoja na kusimamisha Ibada ya Sala 5, funga unapoingia mwezi mtukufu wa ramadhan, Zakka, kuhiji ktka nyumba takatifu alkaaba kule Makka.

Allah ndie ambaye ameumba siku ya malipo siku ya hesabu (Qiyama) sisi sote tutakufa na kufufuliwa siku hiyo siku ambayo ni siku ya kisimamo siku ambayo kila mmoja aamali yake ndio itamsadia.

Inshaalah kwa maelezo hayo machahe nadhan utakuwa umepata mwanga kuhusu Allah. inshaalah usisite muda wowote utakapokuwa na shaka juu ya mbao lolote kuniuliza nitajaribu kukufahamisha ili uweze kumtambua Allah zadi na zaidi. Wabillahi Tawfiq.
 
Kwa nini Allah aumbe watu halafu awafanye mioyo yao migumu kumjua, kisha awahukumu watu hao hao aliowafanya mioyo yao migumu kumjua yeye mwenyewe, kwa kuwachoma motoni?

Huyo Allah mbona muonevu hivyo?
 
Binadamu tofauti na viumbe vingine vyote kapewa uwezo wa kujitambua...kujuwa zuri na baya.
 
Binadamu kapewa uwezo wa kujua zuri na baya wakati Allah kasema kwenye Quran kwamba (yeye Allah) ataamua mwenyewe nani ampe neema ya kumjua na nani kumfanya awe na moyo mgumu kabisa asimjue Allah?

Unataka kumkosoa Allah alivyoandika kwenye Quran?
 
Back
Top Bottom