Tetemeko la ardhi latikisa Kumamoto Japan

Poleni sana dada zangu wa kumamoto tutazidi kuwaombea dua
 
img_map.png
 
Dah kumamoto ndo kuna kile chuo kikuu alichosoma yule balozi Musenge Mkuma aliyekatariwa tanzania
 
Badilisheni jina hilo la sivyo mtaendelea kutetemeshwa hadi basi...unategemea hicho kiungo kiwe cha moto halafu kitulie!!!
 
wengi wanachangia ili kukidhi kiu yao ya kuandika hilo neno ambalo katika mazingira ya kawaida wangeshutumiwa.
Ha ha haaaaaa....watu wana nongwa sana. Yaani kila anaye comment unaona kabisa kuwa anakidhi kiu yake tu.
 
Nimekumbuka world cup ya 2002 japan kuna jamaa alikua anaitwa mbo mpenza wa ubelgiji siku hyo walikua wanacheza ubelgiji kuna gazeti moja pendwa liliandika kwenye front page 'MBO NDANI YA KUMAMOTO'
Mbo alikua ni mchezaji wa Cameroon halafu kulikua na yule mchezaji wa either Japan au Korea akiitwa Inamoto, timu zao zikapangiwa kucheza mechi zake katika uwanja uliopo ndani ya mji wa Kumanoto.
Lile gazeti likaandika "Mbo Inamoto ndani ya Kumamoto"
 
Ningetamani ningeiskiliza Bbc wakati Yunus akilitaja hilo jina La eneo hilo kumamoto
Kuna mji huko Kenya unaitwa Kakuma, mji huo miaka ya 92 uliwahi kupata wakimbizi wa kisomali kwa wingi sana, BBC wakawa wanapatwa na kigugumizi namna ya kuutamka huo mji wakawa wanatafuna maneno na kuuita 'Kakma' mziki ulikua pale walipokuwa wakiwahoji wakenya wenyewe au wasomali, nikawa ninalazimika kupunguza sauti ya radio ili wajukuu wasisikie hilo neno linavyotamkwa.
 
Waokoaji wangemwagia kumamoto ili huo mji uwe wa baridi nichukue fursa hii kutoa pole kwa wana kumamoto
 
Kumamoto[emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Duuuh nawapa pole sana wananchi wa Japan (Kumamoto) kwa ujumla.

Sasa JF soon itakuwa kama Facebook. Naona u-great thinker unaanza kupotea jaman. Sasa hilo jina ndo limeleta mjadala badala ya kuwaombea pole watu wanashangaa jina la mji hanga.. This is so absurd.

Tubadilike jaman na JF iendelee kubaki the home of great thinkers
 
Duuuuuhh!! Huo Mji Jina Lake Mtihani Mkubwa Huku Africa Mashariki!!!
 
160414145331_japan_earthquake_624x485_afp.jpg

Tetemeko la ardhi latikisa Kumamoto Japan
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa maeneo ya kumamoto Kusini mwa Japan na kusababisha uharibifu mkubwa.

Msemaji wa serikali ameiambia BBC kuwa tetemeko hilo lenye kipimo cha 6.4 katika vipimo vya Richter ilitikisa mji wa Kumamoto na kisiwa cha Kyushu.

Maeneo ya mashariki ya mji wa Kumamoto ndiyo yaliyokuwa kitovu cha tetemeko hilo.

Vituo vya kuzalisha umeme kwa nguvu za kinyuklia vya Sendai na Genkai vyote viko katika kisiwa cha Kyushu.

160414151246_japan_earthquake_512x288__nocredit.jpg

Majengo mengi yameporomoka katika mji wa Kumamoto na polisi wanashuku kuwa huenda watu kadhaa wamefukiwa na vifusi vya majengo yaliyopotromoka.

Afisa mmoja wa katika kitongoji cha Uki nje kidogo ya Kumamoto anasema kuwa hata jengo la baraza la mji umeathirika.

Msemaji wa serikali Yoshihide Suga amesema kuwa makundi ya waokoaji ndio yameaanza kutathmini madhara ya tetemeko hilo la ardhi na kisha kuishauri serikali.

Huduma za treni zilikatizwa kwa muda kama tahadhari tu.

160414151359_japan_earthquake_512x288__nocredit.jpg

Japan hukumbwa na matetemeko ya ardhi mara kadha lakini kutokana na sheria na kanuni kali za ujenzi madhara ya tetemeko huwa sio makubwa.

Tetemeko kubwa la ardhi lenye alama 9 kwenye vipimo vya Richter ilitikisa Japan Machi mwaka wa 2011 na kutibua kimbunga na mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu 18,000.

Aidha vinu vya nyuklia vya kuzalisha umeme viliharibika katika tetemeko hilo.

Chanzo: BBC Swahili

Wana KUMAMOTO poleni sana na tuzidi kumwomba Mwenyezi Mungu awape faraja na uvumilivu wakati huu mkiwa katika matatizo hayo makubwa. I hope with time the KUMAMOTO city will return to normal and people proceed with their daily activities.
 
160414145331_japan_earthquake_624x485_afp.jpg

Tetemeko la ardhi latikisa Kumamoto Japan
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa maeneo ya kumamoto Kusini mwa Japan na kusababisha uharibifu mkubwa.

Msemaji wa serikali ameiambia BBC kuwa tetemeko hilo lenye kipimo cha 6.4 katika vipimo vya Richter ilitikisa mji wa Kumamoto na kisiwa cha Kyushu.

Maeneo ya mashariki ya mji wa Kumamoto ndiyo yaliyokuwa kitovu cha tetemeko hilo.

Vituo vya kuzalisha umeme kwa nguvu za kinyuklia vya Sendai na Genkai vyote viko katika kisiwa cha Kyushu.

160414151246_japan_earthquake_512x288__nocredit.jpg

Msemaji wa serikali ameiambia BBC kuwa tetemeko hilo lenye kipimo cha 6.4 katika vipimo vya Richter ilitikisa mji wa Kumamoto na kisiwa cha Kyushu.
Majengo mengi yameporomoka katika mji wa Kumamoto na polisi wanashuku kuwa huenda watu kadhaa wamefukiwa na vifusi vya majengo yaliyopotromoka.

Afisa mmoja wa katika kitongoji cha Uki nje kidogo ya Kumamoto anasema kuwa hata jengo la baraza la mji umeathirika.

Msemaji wa serikali Yoshihide Suga amesema kuwa makundi ya waokoaji ndio yameaanza kutathmini madhara ya tetemeko hilo la ardhi na kisha kuishauri serikali.

Huduma za treni zilikatizwa kwa muda kama tahadhari tu.

160414151359_japan_earthquake_512x288__nocredit.jpg

Huduma za treni zilikatizwa kwa muda kama tahadhari tu.
Japan hukumbwa na matetemeko ya ardhi mara kadha lakini kutokana na sheria na kanuni kali za ujenzi madhara ya tetemeko huwa sio makubwa.

Tetemeko kubwa la ardhi lenye alama 9 kwenye vipimo vya Richter ilitikisa Japan Machi mwaka wa 2011 na kutibua kimbunga na mafuriko makubwa yaliyosababisha vifo vya watu 18,000.

Aidha vinu vya nyuklia vya kuzalisha umeme viliharibika katika tetemeko hilo.

Chanzo: BBC Swahili
Polen
 
Back
Top Bottom