Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

Arusha pia mida ya saa kumi na moja unusu ivi pia tetemeko hilo pia tumeliskia

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Uko sawa mkuu hata Dodoma limepita muda huo hizo saa zingine zinazotajwa mhhhm
 
Tetemeko la ardhi halipo katika masuala ya hali ya hewa na kwasababu hiyo TMA hawawezi kutoa utabiri wa suala hilo kwakuwa halipo katika majukumu yao na bila shaka hawana utaalamu na masuala hayo. Kuna kituo cha Seismolojia sijajua kipo taasisi gani, wao ndio wana utaalamu wa hayo matetemeko ya ardhi na ndio wanapaswa kutoa tahadhari mapema.
Kituo cha Seismolojia kipo hapa Dodoma na kinaendeshwa na Wakala wa Jiolojia Tanzania. Masuala ya matetemeko ya ardhi, athari za milipuko ya baruti kwenye migodi nk ni baadhi ya shughuli za Wakala huyu.
 
Kweli arusha limepita, mawazo yangu hayakuwa kwenye tetemeko kabisa nilipoona kitanda kinatikisika nikabaki na maswali hahaahaaa
Hahaaaa kumbe tupo wengi! Hata mie sikuwaza kabisa baadae sana ndio nikapata jibu! Matetemeko hayajazoeleka pande hizi si kama Japan hakukuchi bila matetemeko!
 
Limetokea tetemeko la ardhi wilayani Buchosa muda wa saa 9:20 alasiri leo hii 10/09/2016. Wenyeji wanasema halijatokea tetemeko kwa makumi ya miaka. Ni tetemeko dogo sijasikia kusababisha madhara sehemu yeyote.
 
Bukoba ndo kama hivi na tetemeko

1473514486388.jpg
1473514498678.jpg
1473514511378.jpg
 
Hata hapa mwanza limepita sema tuliuwa tunashangilia goli la De bryune akiwawasha Man U...hatuna habari!!!
 
Hata huku nilipo limepita, nilikuwa nimelala yani kitanda ghafla nikashtuka kitanda kinatikisika, kuamka nao hadi nyumba inatikisika, hahahaha nimetoka speed had nje
 
Arusha sasa ivi linapita kuelekea tanga. Jiandaen kulipokea huko....mana kwny mataa ya barabarani limepita na red.
 
Back
Top Bottom