Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
Kumetokea tetemeko dogo la ardhi asubuhi ya wa kumkia tarehe 13/07/2016 kwenye mikoa ya Dodoma, Arusha, Morogoro na Dar.

Hamna maafa yaliyoripotiwa mpaka sasa.

screenshot_2016-07-13-07-13-09-1-png.365748
 
ni muda wa saa 12dk1 asubuhi hii ya leo j5 tetemeko limepita hapa dodoma mjini limetokea upanda kusini kuelekea kaskazini limechukua kama sekunde 37 sijajua kama kunasehemu yametokea madhara
Limepita Arusha pia kama saa 12dk 7.....ingawaje dogo
 
ni muda wa saa 12dk1 asubuhi hii ya leo j5 tetemeko limepita hapa dodoma mjini limetokea upanda kusini kuelekea kaskazini limechukua kama sekunde 37 sijajua kama kunasehemu yametokea madhara
Duh...... Hiyo ni dalili tosha kuwa kutatokea tetemeko kubwa mjini Dodoma kwenye vikao viwili vya ndani vya CCM na BAVICHA - CHADEMA..........
 
OTE="jaoline1, post: 16831383, member: 369993"]Hata morogoro tumeliskia kwa mbaali kidogo[/QUOTE]
Arusha pia limepita asubuhi hii
 
That is an earth tremor.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom