Maafa afghanistan: maelfu ya watu waangamia kwa tetemeko la ardhi

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,999
8,386
Watu zaidi ya alfu mbili wameangamia kutokana na tetemeko la ardhi

Na maafa yanazidi kuongezeka

Afghanistan ni nchi ya kidini
 
Majanga ya asili hayana mwenyewe. Mungu wa Yakobo awanusuru watu wake.

Na hao Taliban wanaotaka kwenda kuwasaidia magaidi wenzao Hamas; watulie kwao wasaidie kuokoa wananchi wao badala ya kushobokea yasiyowahusu!
 
Nahisi wapewa hili janga ili watulize makalio yao majumbani kwao.
 
Matokeo ya kutesa wanawake, Mungu amekasirika
... hapana Ndugu; majanga ya asili hayana kigezo chochote cha kibinadamu kutokea au kutotokea. Hakuna jema lolote la kufanya kuyaepuka.
 
Niliona Jana braking news Al jazeera, wataliban wanaomba njia Iran, Jordan, na Lebanon waende Israel kupigana vita. Halafu kuna watu wanawaonea huruma. Sasa mtu asiyejari majanga ya kwake, badala yake anaomba kwenda kuongeza mafuta kwenye moto wa nyumba ya tatu, binafsi nasema kama tetemeko linatengenezwa waongezewe jingine, labda litawatuliza matako chini watafakari.
 
unajua shida nini mkuu tatizo la majanga wanakufa ata ambao sio taleban.
 
Watajijua wenyewe, hao Talibani wanapofanya mauaji wanashangiliwa na hao unosema sio Taliban. Nchi walikabidhiwa Taliban, na ndio wanoendesha Afghanstan leo kwa mbwembwe wanjiona vidume sanaa.
Leo hii CCM wakivamiw aunadhani mimi nitalaumu wavamizi, nitawapongeza waendelee ili wasafishe mijizi ya rasilimali za umma, ili taifa lirejee kwa wananchi na sio kikundi cha watu.
Marekani ilipokuwa inawakimbiza Taliban inakabidhi madaraka kwa non-Taliban, wananchi walikuwa wana hujumu harakati zile na kuwalea Taliban. Taliban walikuwa wanfanya mashambulizi ya kustukiza na kujificha kwenye jamii hiyo hiyo. Marekani walivyoondoka wakaanza kuchapwa viboko, wanawake kuondolewa mashuleni na kuondoa mitaala ya elimu iliyokuwa inatengenezwa na kurudisha elimu yao ile ya kitaliban.
Sasa kwanini uwatete hawa wananchi, unawatofautishaje na Taliban.
 
Kwa hiyo bi faiza fox kiherehere cha kubishana na wanaume angekuwa afghanstan ingekuwa ni yeye na juba na kuzaa tu?
 
Kule hata salamu angepewa na mumewe tu, mana kule ukisalimiwa na mtu asiye mumeo utajieleza sana kwa mumeo.
Hapa anajimwambafy tu, hiyo sharia ingemkata mdomo.
 
Back
Top Bottom