Tetemeko dogo la ardhi limetoea mikoa kadhaa Tanzania

Arusha pia mida ya saa kumi na moja unusu ivi pia tetemeko hilo pia tumeliskia

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Daa Mimi nilikuwa nafikiri ng'ombe wanakimbizana, Mara mabati yapige Makelele kabla cjaelewa nn kinaendelea likaisha. Kumbe lilikuwa tetemeko??
 
Hata hapa maeneo ya Turiani morogoro limepita mda huohuo SAA 12:1-2.nimeshituka sana maana kitanda kilikuwa kinatikiswa na hadi tukafikiria kutoka nje.
 
Back
Top Bottom