Testing

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,485
40,014
Wikendi hii tunafanya majaribio ya kurusha matangazo moja kwa moja toka studio zetu nje kidogo ya "jiji la Detroit". Tafadhali aribu kusikiliza hapo chini kwenye sehemu inayosema "listen live" kuna picha ya mcheza soka Thiery Henry. Tafadhali tuandikie feedback yako klhnews@klhnes.com, ili tuamue kama hili ni wazo zuri au la. Ingia HAPA
 
Back
Top Bottom