Hiyo saa nane ya usiku huko Majuu ni saa tatu ya asubuhi afrika mashariki, saa moja ya asubuhi huko UK na ni saa nane mchana kule malaysia... Tunasubiri taarifa ya habari...
Umesema kuwa kwa sasa redio haitakuwa masaa 24 hewani.... Leo itakuwa hewani kwa muda gani... manake hizi nyimbo za kiochestra zinafanya bia yangu kushuka vizuri Jumamosi hii!