Tumejaribu kuwaletea burudani kwenye KLHN. Burudika na vibao vya kwetu hadi uchoke. Huwezi kudownload though ni burudani ya masikio yako tu. Kwenye ukurasa wa mbele chini ya "Google search" utakutana na player yetu na ingia hapo na anza kujinoma...
Bila ya shaka.. nina muziki wa kutosha kwenye santuri.. na niko mbioni kupata converter itakayobadilisha nyimbo hizo za zamani na kuziweka kwenye digital format...