Testing.. burudani na KLHN

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,399
39,548
Tumejaribu kuwaletea burudani kwenye KLHN. Burudika na vibao vya kwetu hadi uchoke. Huwezi kudownload though ni burudani ya masikio yako tu. Kwenye ukurasa wa mbele chini ya "Google search" utakutana na player yetu na ingia hapo na anza kujinoma...

http://www.klhnews.com
 
Shukrani VILLAGER, hapa nasikiliza Afro 70. I feel kama niko nyumbani. Ukipata nafasi jaribu kuongeza miziki mingine mingi tu kadri uwezavyo.

Natanguliza shukrani
.
 
Bila ya shaka.. nina muziki wa kutosha kwenye santuri.. na niko mbioni kupata converter itakayobadilisha nyimbo hizo za zamani na kuziweka kwenye digital format...

daring to be the first..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom