Test Drive

Test Drive

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,769
Reaction score
129,521
Wakuu, nimetoa hii ndinga bandarini leo ni barabara ipi nzuri kuijaribu ili nijue hawa WaJerumani sio waongo?
IMG_20180315_115230.jpg
 
Mkuu hongera sana. Ukitaka u test hiyo Germany machine kwa siku za kazi subiri mida ya kuanzia saa 4 usiku na utumie Bagamoyo Road au Kilwa Road hapo utafanya test vzr.
 
Kwa milima midogo midogo test kupitia Goba Road. Mida ya wakubwa kuanzia kuanzia saa 4 ambapo hakuna jam za magari mengi.
 
Nenda mpaka bagamoyo itafute msata Kwa mshana jr then geuza..
 
Wakuu, nimetoa hii ndinga bandarini leo ni barabara ipi nzuri kuijaribu ili nijue hawa WaJerumani sio waongo?View attachment 715589
Volkswagen Golf gti,hongera kwa kununua kibaby walker. Halafu kuna mahali ulimponda mtu kwa kuendesha mark x ukasema ni ten year old car nkajua una velar ya 2017,hii yenyewe tu pia ni ten years old
 
Back
Top Bottom