Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Wahusika mliofikwa na maafa hayo poleni sana.Watanzania mliopo india vipi usalama wenu mana naona mahotel ndio yamelipuliwa sana na najua wabongo kwa kujirusha mumepona kweli huko?Mliokaribu na maeneo ya matukio endeleeni kutupa yaliyojiri
hamna any international channel iliyo declare hiyo habari mpya ya delhi....i think ol focus iko mumbai dats why...lets wait n see guys de only safe place in dis world to b ni bongo tuuu looh
...
nw the thing yaanza ingizwa siasa ndani yake which wil get so dangerous naona wmaeanza tena yale ya kushitakiana sijui ni wapakistan wamefanya hivi n wa pakistan wametoa report kuwa these things shudnt be taken kisiasa!
54th hour, the siege is going on, huh!...
Indian Special forces wanatolewa nishai sasa na hawa terrorists...
Stand off bado tuu?!
Shame!
Kweli Kaka, nina wasiwasi sana hapaa hii kitu itokee kwetu, yaani itakuwa ni nomaa. Ila tuombe Mungu atuepushie hayo yoote maana jamaa hawachagui mwenyeji mgeni moto unaweza kukuwakia.mwishoni after i don know hw many hrs it is declared kuwa de movie is over n wameua magaidi wa3 waliokua ndani bado ya hoteli.
iwe somo kwetu tz..je kasheshe kama hizi zikitokea tuna hata uwezo wa kupambana nao?
Kweli Kaka, nina wasiwasi sana hapaa hii kitu itokee kwetu, yaani itakuwa ni nomaa. Ila tuombe Mungu atuepushie hayo yoote maana jamaa hawachagui mwenyeji mgeni moto unaweza kukuwakia.
Hivi Bongo tuna special force ambayo iko ready? na kuna wanaopambana/angalia/ au the so called "Counter Terrorism force)?...Naam, naaam, Funzo!
1. waliteka meli ya uvuvi ilosajiliwa India, wakamuua rubani.
2. walikuwa wakitumia GPRS, na satellite phones, wakaingia kwenye pwani ya India.
3. kikundi cha magaidi 10, wameweza kuendesha siege kwa zaidi ya masaa 60, kuua watu zaidi ya 200...
4. walikuwa na layout knowledge ya kila sehemu walovamia, ikiwemo Hizo Hotels ambazo zina jumla ya vyumba 1000...(Imagine!).
60hrs Hide and seek baina ya terrorists na Special forces ndilo linalotisha zaidi, kuna haja ya [I]"Our special forces"[/I] kupata layout ya kila jengo, mapya na ya zamani nchini.
Ukiona mwenzio anyolewa,...
Hivi Bongo tuna special force ambayo iko ready? na kuna wanaopambana/angalia/ au the so called "Counter Terrorism force)?
Niliinteract na Eng. John Kijazi, ni mtu poa sana, down to earth na mtu wa watu!. Mungu ambariki sana awe vile vile kama alivyokuwa akiwatumikia Watanzania India, sasa amefanywa mtumishi wa wote Tanzania!.Kwa mujibu wa Balozi wa Tanzania nchini India, Eng. John Kijazi, mpaka sasa hakuna Mtanzania yeyote aliyeripotiwa kuathirika na shambulio hili. Balozi Kijazi amesema alfajiri ya leo waliwasiliana na Watanzania wote walioko rasmi mjini Mumbai, wote wako salama.
Hata hivyo Balozi Kijazi amesema kuna wafanya biashara wengi wa Kitanzania ambao humiminika Mumbai kama waendavyo nchini China kutoa taarifa ubalozini lakini taarifa zozote zikipatikana, atanijulisha.
.