Teophil Makunga umejidhalilisha mno kutumiwa na Nchimbi

Baada ya kusoma ripoti ya kamati ya Kitchen Party ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi nimebadili msimamo wangu wa jinsi nilivyokuwa namkubali sana Mhariri huyu wa gazeti lenye heshima ya mgongo wa chupa la Mwananchi.

Pia mtazamo wangu dhidi ya gazeti hili kuwa ni objective umebadilika pia, Mwanahabari mwandamizi kama Makunga kushiriki kuandika ripoti nyepesi kama ile, yenye kila viashiria vya elimu ya Ngumbalu kwa walioshiriki kuiandika ni kujidhalilisha na kujivunjia heshima. Nchimbi kakutumia kujisafisha na kulisafisha jeshi lake lakini aliyepoteza credibility ni wewe.

Sijui tatizo ilikuwa ni posho ya ushiriki wa kazi za tume lakini hii report ni nyepesi mno, no wonder jaji Ihema alishindwa kuandika hukumu wakati jaji.

Kwani huyu ni ndugu yake na Novatus Makunga????
 
A MAN CAN NOT BE GLAND WITHOUT MONEY BUT MONEY DOES NOT MAKE A MAN TO BE GLAND wewe kula za ncimbi kaka

ustadhi samahani una maana glad au ? Maana tafsiri ya gland kwa kiswahili ni pumbu .embu weka sawa andiko lako ,
 
Baada ya kusoma ripoti ya kamati ya Kitchen Party ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi nimebadili msimamo wangu wa jinsi nilivyokuwa namkubali sana Mhariri huyu wa gazeti lenye heshima ya mgongo wa chupa la Mwananchi.

Pia mtazamo wangu dhidi ya gazeti hili kuwa ni objective umebadilika pia, Mwanahabari mwandamizi kama Makunga kushiriki kuandika ripoti nyepesi kama ile, yenye kila viashiria vya elimu ya Ngumbalu kwa walioshiriki kuiandika ni kujidhalilisha na kujivunjia heshima. Nchimbi kakutumia kujisafisha na kulisafisha jeshi lake lakini aliyepoteza credibility ni wewe.

Sijui tatizo ilikuwa ni posho ya ushiriki wa kazi za tume lakini hii report ni nyepesi mno, no wonder jaji Ihema alishindwa kuandika hukumu wakati jaji.

Theophil Makunga kadhibitisha kuwa njaa ni mwanaharamu, na usipokuwa makini unaweza ukala hata mavi kwasababu ya pesa. Na ukweli ni kuwa kwa hiki alichofanya huyu Makunga ameidhalilisha taaluma ya uandishi wa habari na ameudhalilisha utu kwa kukubali kuuza utu na fikra zake kama nyanya.
 
Naomba kumtetea Makunga.

Moja ya Sifa kubwa ya Makunga kwa wale wanaomjua ni hii, kwamba Makunga ni mtu "accomodating sana." Hajui kupinga kitu; Makunga hutekeleza maelekezo ya aliye juu yake bila ubishi. Katika zile personality traits nne, kwa wale waliopitia basics za sociology, Makunga ni Phlegmatic.

Hii ndiyo maana Makunga ni mtu mzuri sana kushika nafasi ya Umeneja wa kitu chochote unachotaka kuendesha, kwa sababu atafanya unachomuelekeza bila kuleta ubishi. Naamini katika kamati hii alifanya kazi CHINI ya mtu mwingine, ambapo huyu mtu mwingine alikuwa na agenda; Na kwa personality ya Makunga wala asingeleta ubishi. Pengine hata waliopendekeza jina lake walijua kuwa ni mtu wa type hiyo ndiyo maana walimweka kwenye kamati hii ku-rubber stamp walichotaka kusema. We unadhani kwanini hawakumweka Jenerali Ulimwengu, au wewe for that matter!

Huyu bwana ni mtu mpole mno by nature. Shughuli waliyompa kufanya ilitakiwa apewe mtu mwenye character traits tofauti kidogo kuweka impact hapo. Lakini pia ukumbuke kuwa hakuwa peke yake. Hata kama alikuwa na mawazo tofauti, bado pengine yasingepita bila ridhaa ya wengine.

Mi naomba usipersonalize sana hizi lawama. Blame the whole team: especially wale kutoka serikalini kwa sababu watakuwa ndo waliokuja na hiyo agenda ya kutengeza kitu shallow.

Back
Top Bottom