nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,613
jidanganye, waislamu wanaojitambua wameshamshitukia lipumba kwamba hawezi siasa za majukwani ndo maana muda wote kwenda kuwachochea waislamu msikitini! Lipumba ni mchochezi!Chama kina mgombea Urais Padri hicho ndo cha kufutwa kwanza.Waislamu wamekwisha amka sasa hivi endeleeni kuimba mapambio hadi kwenye majukwaa ya siasa mkidhani mtapata kura za kanisani pekee yake zitawafikisha.