Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

Chama kina mgombea Urais Padri hicho ndo cha kufutwa kwanza.Waislamu wamekwisha amka sasa hivi endeleeni kuimba mapambio hadi kwenye majukwaa ya siasa mkidhani mtapata kura za kanisani pekee yake zitawafikisha.
jidanganye, waislamu wanaojitambua wameshamshitukia lipumba kwamba hawezi siasa za majukwani ndo maana muda wote kwenda kuwachochea waislamu msikitini! Lipumba ni mchochezi!
 
Tendwa ianbidi akaze nyomi, kwani muda is mfupi ushahidi utahitaji CCM kufutwa,cuf nayo kabla hajafikia kufuta CDM kwa hila.
 
Lipumba kaweka wazi kuna chama kilitaka kuingia kwa fedha za mafisadi wa magharibi na mafiaso kupitia makanissa
Sasa alikua sahihi kuongea msikitini kwani hio hio mipango ilipangwa kanisani na padre slaa alisafushwa uzinzi wake ili lengo lao litimie
Professa alitahadharisha umma kwamba wasiamini mtu hicho chadema ni wakristo tu na baya zaid wanatumiwa ili kuja kulipa fadhila kwa mabwana zao
Ndio maana watu wanamshapuliaa kuficha na kuindoa lengo la hotuba yake kuwa kuna chama ni mamluki wa magharibi
 
Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima ili kumuokoa Kikwete dhidi ya mziki mzito wa CHADEMA. Pia Amewataka watu wa dini yake wajipange mwaka 2015 ili waokoe jahazi kupitia CUF.

Sasa kwa MANENO KAMA HAYO YA LIPUMBA ni wazi kwamba CUF ilianzishwa maksudi kwa ajili ya watu wa imani fulani. CUF ni sawa na Chui alievaa ngozi ya Kondoo. Mimi niliwahi kuvutiwa na Sera za LIPUMBA wakati fulani.

Kwa ushahidi wa wazi kama huo, TENDWA UNASUBIRI NINI KUFUTA CHAMA HIKI HATARI AMBACHO HAKIWAKILISHI WATANZANIA WA IMANI ZOTE?

Kwani katiba inasema je mkuu? Pia cuf ni ccm B kwahiyo siyo rais kifutwe labda ingetokea kwa CDM ndo wangetisha kukifuta
 
Lukolo mbona unapenda kupiga mkwara vijana?

Jana nilikwambia kuwa nyie CHADEMA ilani yenu ya uchaguzi mliitengeneza sawa na ile ya baraza la maaskofu (TEC) ili mpate support ya wakristo has wakatoliki. Unataka ushahidi gani tena zaidi ya huo.

In 2010 kanisa lilikuwa likimpigia chapua alumni wao dr Slaa na serikali ilikaa kimya. Mngeanza kufutwa nyie kwanza kwenye ulimwengu wa siasa ambao hata bungeni mnaonesha hisia zenu za udini kupitia wachungaji mliokuwa nao!
Hakuna mchungaji wala askofu aliyewahi kutamka popote kwamba wakristo wawachague wakristo wenzao kama ambavyo Lipumba anakili kwamba Mashehe walifanya kazi ya ziada kumuwezesha Kikwete ashinde. Tunachokiona zaidi ni kwamba wachungaji na maaskofu kutokana na ulimbukeni wao pasipokujua kama wenzao waislamu walikuwa wanapiga kura kwa misingi ya udini, wakamtangaza Kikwete kama mteule wa Mungu. Haya yalisemwa na watu mhimu sana akiwemo msaidizi wa Pengo wa wakati huo.

Nina uhakika kama wangejua kwamba waislamu wanapiga kura kwa misingi ya Udini, katu wachungaji na maaskofu wasingeingia chaka kiasi kile. Sasa mtuambie na ninyi ni shehe gani na wa msikiti gani aliwahi kutangaza kwamba Slaa ni chaguo la Mungu? Ni padri gani, wa kanisa gani aliwahi kuwaambia wakristo wamchague Slaa kwa kuwa ni Mkristo mwenzao.

Ukisoma hiyo unayoiita ni ilani iliyoandaliwa na TEC, utaona inatoa general comments tofauti na kauli iliyotolewa na shura ya maimamu ambayo inawaasa waislamu wasigawanye kura zao badala yake wampe mmojawapo kati ya Kikwete au Lipumba. Tuambieni ni mahali gani wakristo walitamka hayo.

Kubalini kwamba nyie ni wadini na mkubali kwamba udini wenu ndiyo unaliangamiza taifa hili. Ni huu udini wenu ndiyo unawasukuma mchome makanisa, muue mapadri na wachungaji. Mbona hatujasikia msikiti umechomwa? Waislamu ni wadini na wabinafsi sana tu. Mkubali hilo, na muyarudie mafundisho ya Mtume kwa kuwa yeye amewafundisha kuwa na upendo, lakini nyie mnafundishana kuwa na chuki. Na mdini wenu namba moja Kikwete anasema eti waislamu walichokozwa hana hata haya? Kwani hajui kilichosababisha Quran kukojolewa yalikuwa ni mabishano ya watoto?

Kubalini kwamba mlipotoka, na sasa mrudi kwenye mstari kwa maslahi ya nchi. Mstake kuiingiza nchi vitani kwa ajili ya dini za waarabu na wazungu. Tuna dini zetu za jadi ni za maana sana kuliko hizi dini za kuletwa kwa ndege na Meli.
 
Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa
1. mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake.
2. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima ili kumuokoa Kikwete dhidi ya mziki mzito wa CHADEMA.
3. Pia Amewataka watu wa dini yake wajipange mwaka 2015 ili waokoe jahazi kupitia CUF.

Kwa haya matatu CUF si chama cha siasa.
 
Chama kina mgombea Urais Padri hicho ndo cha kufutwa kwanza.Waislamu wamekwisha amka sasa hivi endeleeni kuimba mapambio hadi kwenye majukwaa ya siasa mkidhani mtapata kura za kanisani pekee yake zitawafikisha.

haya sheikh kikwete amewafanyia nini manyang'au nyie.?
achen umbumbu ndo maana mnaishia kulia mnaonewa kwa7b ya akili zenye ma @ wingu kama zako..
mmejaa udini tu hadi mnaboa,kila siku ni nyie tu wakutaftiza ugomv..
ningekua rais nngepulizia sumu yote haya..
 
Lipumba kaweka wazi kuna chama kilitaka kuingia kwa fedha za mafisadi wa magharibi na mafiaso kupitia makanissa
Sasa alikua sahihi kuongea msikitini kwani hio hio mipango ilipangwa kanisani na padre slaa alisafushwa uzinzi wake ili lengo lao litimie
Professa alitahadharisha umma kwamba wasiamini mtu hicho chadema ni wakristo tu na baya zaid wanatumiwa ili kuja kulipa fadhila kwa mabwana zao
Ndio maana watu wanamshapuliaa kuficha na kuindoa lengo la hotuba yake kuwa kuna chama ni mamluki wa magharibi

acha matusi mkubwa,
c vema kutuita watu wazma tuna mabwana zetu..
n kichaa tu ndo anaeweza ku-support yale
aliyoyasema lipumba..

crabat
 
Last edited by a moderator:
Hawezi kufuta....kwani CUF ni "shostino" wa CCM na Tendwa "shemstino" wa CUF kupitia CCM. Upo hapo.
 
tatizo ni kuwa na mamluki wa kisiasa wengi wasio na tija ktk maendeleo ya wananchi wa Tz,
imefikia wkt mgombea huyo wa urais kupitia Cuf (2010 & 2005) kusema wazi kwamba
alikuwa anazigawa kura ili chama tawala kipite, hapo tunajifunza nn ....?
na nn msaada wake kwa mwanachama wa Cuf na wananchi wengine ??.
TUMECHOKA NA SIASA ZA KUBURUZWA, TUNATAKA SERA NA MIKAKATI YAKINIFU NA ENDELEVU....
SIOUBABAISHAJI ULIOPO SASA.
 
SIO UBABAISHAJI ULIOPO SASA.
 
Lipumba kaweka wazi kuna chama kilitaka kuingia kwa fedha za mafisadi wa magharibi na mafiaso kupitia makanissa
Sasa alikua sahihi kuongea msikitini kwani hio hio mipango ilipangwa kanisani na padre slaa alisafushwa uzinzi wake ili lengo lao litimie
Professa alitahadharisha umma kwamba wasiamini mtu hicho chadema ni wakristo tu na baya zaid wanatumiwa ili kuja kulipa fadhila kwa mabwana zao
Ndio maana watu wanamshapuliaa kuficha na kuindoa lengo la hotuba yake kuwa kuna chama ni mamluki wa magharibi
mtasema sana, lakini kiukweli lipumba asahau kwenda ikulu hata akigombea mara 40, pamoja na uislamu wangu siwezi mpa kura mtu aliyeishiwa sera, na kubaki kulamba miguu ya viongozi wetu wa dini! Lipumba ajiuzuru!
 
Kama ingekuwa nchi zenye sheria na viongozi wanaolipenda taifa letu, leo lipumba angekuwa selo au angeandamwa na mashtaka ya uchochezi, pia urais wa kikwete ungeingia doa! Mpaka sasa ikulu yetu haijatoa tamko juu ya kauli ya lipumba kuwa alitumia mbinu mwaka 2010 ili kuokoa Jahazi kumsaidia kikwete! Ikulu imekaa kimya juu ya hili, lakini lile la dr. Slaa walijibu haraka. Inawezekana ikulu inakaa kimya inajua kile alichokitenda mkulu.
 
Mnajifanya hamnazo akili zipo miguuni nyie wapi lipumba uchaguzi 2010 muliwahi kumsikia akiipigia debe ccm ? In fact alikua akinkandia sana kikwete
Alizunguka nchi nzima kwa gari wakati wale maajenti wa mafiasco walikua wapo juu na helicopter
Allikua akifatana na wanahabar
Akiwemo Kibanda muulizeni kama kuna siku aliingia msikkitini akitaka cuf wamchague kikwete
Alichosema lipumba juzi ni kuwa moja namna uchaguzi ullvokua na namna kikwete alivosusisiwa na watu wa dini nyengine na wakati wa kutangaza matokeo yeye alienda na kumpongeza kikwete japo aliamini uchaguzi haukua wa haki na huru lakini alifanya hivo baada ya kuina makanisa walikua upande wa slaa kugomea na walifanya hivo kwa udini
Ndio maana yeye ilibidi aweke imani yake mbele kumpongeza kikwete kwa ushindi
Angelataa kukubali matokeo basi athari yake ingekua kubwa lakini aliona wanaopinga matokeo walikua na jazba ya dini kulliko siasa hivyo ilibidi awe na kikwete lkumpongeza
Jengine alosema ni kuhusu wakristo kutumia kanisa kujiandaa na uchaguzi na huvyo umihimu wa waislam nao kuiga staili hio
Jengune kujihadhar na vyama mamluki wenye lengo la kuhodhi rasilima za tanzania
Na jingine alisema
 
Hakuna mchungaji wala askofu aliyewahi kutamka popote kwamba wakristo wawachague wakristo wenzao kama ambavyo Lipumba anakili kwamba Mashehe walifanya kazi ya ziada kumuwezesha Kikwete ashinde. Tunachokiona zaidi ni kwamba wachungaji na maaskofu kutokana na ulimbukeni wao pasipokujua kama wenzao waislamu walikuwa wanapiga kura kwa misingi ya udini, wakamtangaza Kikwete kama mteule wa Mungu. Haya yalisemwa na watu mhimu sana akiwemo msaidizi wa Pengo wa wakati huo.

Nina uhakika kama wangejua kwamba waislamu wanapiga kura kwa misingi ya Udini, katu wachungaji na maaskofu wasingeingia chaka kiasi kile. Sasa mtuambie na ninyi ni shehe gani na wa msikiti gani aliwahi kutangaza kwamba Slaa ni chaguo la Mungu? Ni padri gani, wa kanisa gani aliwahi kuwaambia wakristo wamchague Slaa kwa kuwa ni Mkristo mwenzao.

Ukisoma hiyo unayoiita ni ilani iliyoandaliwa na TEC, utaona inatoa general comments tofauti na kauli iliyotolewa na shura ya maimamu ambayo inawaasa waislamu wasigawanye kura zao badala yake wampe mmojawapo kati ya Kikwete au Lipumba. Tuambieni ni mahali gani wakristo walitamka hayo.

Kubalini kwamba nyie ni wadini na mkubali kwamba udini wenu ndiyo unaliangamiza taifa hili. Ni huu udini wenu ndiyo unawasukuma mchome makanisa, muue mapadri na wachungaji. Mbona hatujasikia msikiti umechomwa? Waislamu ni wadini na wabinafsi sana tu. Mkubali hilo, na muyarudie mafundisho ya Mtume kwa kuwa yeye amewafundisha kuwa na upendo, lakini nyie mnafundishana kuwa na chuki. Na mdini wenu namba moja Kikwete anasema eti waislamu walichokozwa hana hata haya? Kwani hajui kilichosababisha Quran kukojolewa yalikuwa ni mabishano ya watoto?

Kubalini kwamba mlipotoka, na sasa mrudi kwenye mstari kwa maslahi ya nchi. Mstake kuiingiza nchi vitani kwa ajili ya dini za waarabu na wazungu. Tuna dini zetu za jadi ni za maana sana kuliko hizi dini za kuletwa kwa ndege na Meli.

Usidanganye watu misa zote kampeni ilikua kumchagua slaa
Kila mtu anajua
Waraka wa kikristo pia ulielekeza wachague kondoo wa bwana
Kama waislam walipiga kura ya blocl basi mdee asingepata ubungr wala mnyika wala kina duwani silaa lakini wakristo walipiga kura za pamoja ndo maana muislam hawakushinda sehemu za waktristo
Vyama venu vina wachungaji na mapadre jee kuna sheikh mwanasiaasa
Hapa kuna tatizo inabidi watu watafakari sana
 
Lipumba akiwa kwenye nyumba ya ibada alidhibitisha kuwa mwaka 1995 aliombwa agombee Urais ili kuwakilisha watu wa Imani yake. Pia Mwaka 2010 Yeye na viongozi wa dini yake walizunguka nchi nzima ili kumuokoa Kikwete dhidi ya mziki mzito wa CHADEMA. Pia Amewataka watu wa dini yake wajipange mwaka 2015 ili waokoe jahazi kupitia CUF.

Sasa kwa MANENO KAMA HAYO YA LIPUMBA ni wazi kwamba CUF ilianzishwa maksudi kwa ajili ya watu wa imani fulani. CUF ni sawa na Chui alievaa ngozi ya Kondoo. Mimi niliwahi kuvutiwa na Sera za LIPUMBA wakati fulani.

Kwa ushahidi wa wazi kama huo, TENDWA UNASUBIRI NINI KUFUTA CHAMA HIKI HATARI AMBACHO HAKIWAKILISHI WATANZANIA WA IMANI ZOTE?

Msajili wa vyama ni CCM anaefanya kazi kwa maslahi ya CCM. Unadhani hilo litawezekana?
Aa wapi. CCM wata loos leverage 2015. Hiyo ndo back up yao. Na sera kubwa ni udini.
Aisee leta mada ingine bhana. Hapa naona kama tunajadili mada iliyo uchi kabisa
 
Vyama vyetu vya upinzani vinasikitisha sana.
CCM iliponazisha mfumo wa vyama vingi ilitegemea vitaudwa vyama vyenye malengo mazuri na taifa, lakini unfortunately ndio vimeibuka CUF na Chadema.

Not unfortunately ni propaganda za CCM zikitumia mtindo wa "Devide and Rule" kwa kuwagawa watanzania kwa itikadi na ukabila. Nape, Ridhiwani, JK, Mwigulu, Mahita, Cloudsfm, n.k kwa ujumla CCM itafikishwa ICC kwa iwapo nchi hii tutaingia katika machafuko ya kidini. Kampeni za 2005 na 2010 ushahidi uko wazi kabisa
 
cuf wameshtukia kua 2015 panga pangua rais atakua mkristo so wameona njia ni kuwalaghai waislam ili kura zao zote zihamie cuf...
 
Usidanganye watu misa zote kampeni ilikua kumchagua slaa
Kila mtu anajua
Waraka wa kikristo pia ulielekeza wachague kondoo wa bwana
Hivi mtu mzima mwenye akili timamu kukaa chini na kuandika uongo bila aibu kuna maanisha nini? Kama una ushahidi wa hata gazeti tu linaloshuhudia kwamba kanisa fulani kwenye misa fulani mchungaji aliwatangazia waumini wamchague Slaa hebu liweke hapa? Mbona nyie watu ni waongo kiasi hiki? Eti waraka wa wakristo ulielekeza wachague kondoo wa bwana, huna hata haya? Hebu muulize mwenzako Bocho ambaye angalau anajua haya mambo kidogo, wewe inaonekana umekurupuka tu wala hujui chochote.

Kubalini kwamba waislamu mlipotoka na sasa mjirekebishe kabla hamjaisababishia maafa hii nchi. Huu udini hautawasaidia chochote. Hakuna Rais atakayeingia madarakani na kujenga shule au barabara ya waislam au wakristo peke yao. Tumieni akili. Tunataka Rais atakayeboresha maisha ya watanzania kwa faida ya watanzania wote. Tunataka Rais atakayeboresha afya, elimu, miundombinu, uchumi wetu na kila secta ili watanzania waislamu na wakristo waishi maisha yenye furaha. Sasa na kimbelembele chenu cha kumchagua Kikwete mmefaidika nini? Acheni ujinga, mnapokaa chini kufikiria mstakabali wa taifa angalieni mtu mwenye uwezo na si mtu wa dini yenu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom