Tendwa sasa aiangukia Chadema

Tendwa hakuwalaum moja kwa moja cdm,alikuwa makini ktk kauli yake kwamba chama chochote kitakacho sababisha kifo katika mikutano yake hatasita kukifuta.Of course mlengwa ni cdm
 
Tatizo viongozi wa serikali ya ccmweli hawawezi kukubali kuomba msamaha na huwa hawaoni kama wanakosea!

Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao, hivyo anawashangaa kwa nini hawakuhudhuria mkutano, na hata vyama vingine vilivyohudhuria viliwashangaa CDM.

Kama kawaida mtangazaji aliyekuwa akimhoji alishindwa kumuuliza swali la msingi kabisa - kwa nini yeye Tendwa, baada ya tukio la kuuwawa kwa Mwangosi alikimbilia kwenda vyombo vya habari na kutoa kauli ya moja kwa moja kuilaumu CDM kuhusiana na tukio hilo na kutishia kukifuta CDM?

Yaani mtangazaji hakumuuliza kwa nini hata kabla ya tume ya uchunguzi kufanya kazi yake yeye aliishaamua kuwa CDM ndiyo wakosaji, hivyo kingefaa kufutwa. Pia mtangazaji hakumuuliza Tendwa kwa nini badala ya kwenda vyombo vya habari asiombe kwanza kukutana na CDM kabya ya kubwabwaja katika vyombo vya habari?

Kwa ujumla Tendwa alionekana kama vile anawabembeleza CDM wakutane.

Ushauri wangu: CDM wakutane na Tendwa lakini kwa sharti moja -- afute na aombe radhi kauli yake kwa vyombo vya habari kwamba CDM ndiyo mhusika wa tukio la mauaji ya Mwangosi hadi kufikia kutishia kukifuta chama.
 
Thubutu!!! we-we-we CDM hawana ubavu wa kususia ruzuku. In fact Mbowe ataua mtu iwapo ruzuku itakatwa. Amekuwa akijenga CDM kwa lengo la kupata ruzuku zaidi, sasa iweje asuse? Ni sawa na kuwa na hisa kwenye kampuni halafu wakati wa kugawana gawiwo ususe kupokea.

Hayo ndiyo matatizo ya mtu kukurupuka kuandika taarifa wakati kichwani bado ana hangover ya mikiki mikiki ya maisha ya jana yake!!! Kajipange vizuri ndipo uje uandike!!!
 
Tendwa ni kada wa ccm, hakuna haja ya kukubali wito wake, chadema wakomae!
 
No one in the current system anaweza kuomba msamaha to the mass.......tendwa hawez fanya hivyo hata cku moja! Na viongoz wetu hasa waliopo kwenye mihimiri tofaut hufanya kaz kwa pressure kubwa toka juu, na hii n kuotoka na kuteuliwa na only one person, hivyo kuomba msamaha n kwenda kinyume na aliyekuweka hapo......"Katiba yetu"
 
Leo asubuhi ktk kipindi cha Nipashe cha Radio 1 Stereo Tendwa alionekana akiwabembeleza CDM wakutane naye, akitoa haja kwamba ule mkutano wa juzi kati yake na vyama hauhusiani kabisa na madai yao, hivyo anawashangaa kwa nini hawakuhudhuria mkutano, na hata vyama vingine vilivyohudhuria viliwashangaa CDM.
Kama kawaida mtangazaji aliyekuwa akimhoji alishindwa kumuuliza swali la msingi kabisa - kwa nini yeye Tendwa, baada ya tukio la kuuwawa kwa Mwangosi alikimbilia kwenda vyombo vya habari na kutoa kauli ya moja kwa moja kuilaumu CDM kuhusiana na tukio hilo na kutishia kukifuta CDM?

Yaani mtangazaji hakumuuliza kwa nini hata kabla ya tume ya uchunguzi kufanya kazi yake yeye aliishaamua kuwa CDM ndiyo wakosaji, hivyo kingefaa kufutwa. Pia mtangazaji hakumuuliza Tendwa kwa nini badala ya kwenda vyombo vya habari asiombe kwanza kukutana na CDM kabya ya kubwabwaja katika vyombo vya habari?

Kwa ujumla Tendwa alionekana kama vile anawabembeleza CDM wakutane.

Ushauri wangu: CDM wakutane na Tendwa lakini kwa sharti moja -- afute na aombe radhi kauli yake kwa vyombo vya habari kwamba CDM ndiyo mhusika wa tukio la mauaji ya Mwangosi hadi kufikia kutishia kukifuta chama.

Wacha Chadema waendelee kumsusia hivyo hivyo. Na wamwache huyo mtu mzima hovyo huyo akiendelea kuweweseka na kula matapishi ya kauli zake mwenyewe. Tendwa ameshakuwa "antique" na hana msaada wowote kwenye haraka za ukombozi wa Tanzania kwani amekosa sifa zote za mlinzi wa haki za jamii ya Tanzania.
 
Basi thread kama hizi ndio utaona wale viroboto wa magamba wamejazana huku. Mbona hamjaonekana kwenye ile ya Star TV kuhusu Amani ya Tanzania na wale wazee wenu wa Dar (Farijala, et. al.) walioishia kutukana? Nendeni na kule mkachangie kama mna ubavu.
 
huwa wanatafuta mahali wanaweza kutoa mipasho! Lol...
 
Thubutu!!! we-we-we CDM hawana ubavu wa kususia ruzuku. In fact Mbowe ataua mtu iwapo ruzuku itakatwa. Amekuwa akijenga CDM kwa lengo la kupata ruzuku zaidi, sasa iweje asuse? Ni sawa na kuwa na hisa kwenye kampuni halafu wakati wa kugawana gawiwo ususe kupokea.

Siamini ulikuwa unajua unachokisema kuhusu hapo kwenye RED, this is a Freudian Slip!
 
Hayo ndiyo matatizo ya mtu kukurupuka kuandika taarifa wakati kichwani bado ana hangover ya mikiki mikiki ya maisha ya jana yake!!! Kajipange vizuri ndipo uje uandike!!!

Mama Mdogo, sijakurupuka. Ukweli ni kwamba kwa wanaoifahamu CDM, kwa jinsi wanavyotembeza bakuli wakiwakamua walalahoi ili viongozi (Slaa/Mbowe/etc) waendelee kutanua na familia zao, leo hii kutangaza kususia ruzuku ni kiini macho.

Siku CDM wakisusia hiyo ruzuku, mimi nitasusia mshahara wangu kwa mwaka mzima huku nikiendelea kuchapa mzigo kama kawa.
 
Ni haramu mwanaume ambaye hapimwi kwa kuvaa suruali kulamba matapishi yake mwenyewe.
Cdm wasikubali kupulizwa na TENDWA WIND!
 
Back
Top Bottom