Elections 2010 Tendwa na Makame watofautiana JK kuhutubia usiku

Labda yuko katika zile taratibu za kufuturu na kusali sara ya magharibi kwa imani za wenzetu waislam inayotokana na jua kuzama.
Hivi huyu Tendwa bado anaangalia majira kwa kufuata Jua badala ya saa! Kwani ratiba katengeneza nani mpaka aulizwe Tendwa badala ya NEC? Jamani waandishi wa habari muwaulize wahusika katika jambo linalowahusu! Lakini JK akizidisha muda ajue ndivyo anavyodhoofisha afya yake 'kwa kasi zaidi, ari zaidi, nguvu zaidi'!
 
Back
Top Bottom