Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tendwa kazi kwako

Discussion in 'Jamii Photos' started by mchonga, Sep 3, 2010.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,224
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  [​IMG]  Yule paleee!!! mtungue sasaaa...!?!?! -

  Source: wavuti
   
 2. M

  Msharika JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 934
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  baati mbaya anavuta manati haina jiwe, akiachilia akuna madhara.
   
 3. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #3
  Sep 4, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 716
  Trophy Points: 280
  Jamaa anatafuta namna ya kuzima utambi kitu ambacho ni kigumu sana - katiba yetu inakinzana upande mmoja JK si rais kwa sasa na ule wa pili JK ni rais mpaka hapo mteule atakapo apishwa! Kazi kwake bwana Tendwa! Kama aliweza kutabiri ushindi wa viti vya ubunge vya upinzani bila kufuata sheria yeyote ile, sasa hili kombora linahitaji sheria na katiba!
   
 4. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #4
  Sep 4, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 677
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Hivi Tanzania ni lazima tupigane kama Kenya ndo katiba mpya itungwe na kupitishwa.
   
 5. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #5
  Sep 4, 2010
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 282
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  kazi kwelil kweli!
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Sep 4, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,234
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 180
  Tendwanae ana katabia fulani ka kujiamini na maconfidence alipoletewa suala la CCM akawa mdogo kama piliton.
  Alitoa siku tano kulifanya ufafanuzi ivi hazijaisha izo siku kweli?
   
 7. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,798
  Likes Received: 755
  Trophy Points: 280
  majibu ya pingamizi la chadema haya hapa..
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 6, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,055
  Likes Received: 3,076
  Trophy Points: 280
  Mbona anajishauri kutungua!!!!!
   
 9. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #9
  Sep 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 6,992
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hana ubavu, litamlipukia mwenyewe!!
   
Loading...