TENDWA atatendwa tu...

TENDWA atatendwa tu...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
John Billy Tendwa,Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,amegeuka mwanasiasa wa chama cha Mapinduzi. Tendwa,mhitimu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,hatumii vyema uanasheria wake. Tendwa,aliyepata Uwakili tarehe 13/6/2008 na kuwa na nambari ya Uwakili 1018,hatumii weredi wake wa kisheria ipasavyo.Anajipendekeza kwa CCM na Serikali yake.

Zipo taarifa kuwa John Billy Tendwa anajiandaa kuwania Ubunge 2015 kwenye jimbo mojawapo mkoani Kilimanjaro. Ana matumaini kuwa atateuliwa na chama hiki cha kijani anachojipendekeza kwacho.Chama cha Mapinduzi hakijengwi wala kulindwa na Tendwa. Kilishajengwa na kulindwa na sasa kinateketea.Tendwa si msaada tena.

Kauli zake za kisiasa za kutishatisha vuguvugu la mbadiliko hazina nguvu.Hazina nafasi. Kwanza,hana mamlaka anayoyasema kwa namna anayojitambia. Chama maarufu kama CHADEMA hakifutwi hivihivi tu. Kama ni mpira wa miguu,basi refarii aumalize mpira huu akiwa tayari amejitafutia njia ya kukimbilia. Lakini,ipo siku atagundua kuwa CCM si chama cha siasa ili ni genge la waropokaji na wachumia tumbo. Watamtenda tu...
 
Mi nadhani kauli ya kutokubali chochote cha TENDWA ni ngumu kumeza, kuna mianya ya kufanya mazungumzo nae kwanza kumueleza anachotakiwa kufanya yy kama msajiri kabla ya uamuzi kama huu.
 
Ndiyo taabu ya kuonja madaraka uzeeni! Kwa hali iwayo yote ataendelea kutoa fadhila kwa aliyemteua!
 
Tendwa ni janga la kitaifa shida anajifanya anajua kumbe ni ziro, maelezo yake juzi kwenye mdaalo na ITV alionekana mzee kilaza najua kwa sasa anawapa shida sana watoto wake jamii inawaona nao hawafai kwani wamezaliwa na mpuuzi.
 
Kwa uelewa wangu huyu kiongozi muhimu hajarudisha kadi yake ya ccm licha ya kazi yake kumtaka awe neutral. Kama nafasi hii muhimu kwa jamii ingekuwa inaombwa na usahili unafanyika hakika mstaafu huyu asingelikalia hicho kiti.
 
Huyu alipokuwa hakimu kule Tabora alitafuna mke wa mtuhumiwa aliyekuwa mahabusu na kuhakikisha jamaa hapati dhamana ili aendelee kufaidi
 
Huyu mtu aliwahi kuwa private secretary wa Samwel Sitta unategemea vipi awe objective?
John Billy Tendwa,Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,amegeuka mwanasiasa wa chama cha Mapinduzi. Tendwa,mhitimu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,hatumii vyema uanasheria wake. Tendwa,aliyepata Uwakili tarehe 13/6/2008 na kuwa na nambari ya Uwakili 1018,hatumii weredi wake wa kisheria ipasavyo.Anajipendekeza kwa CCM na Serikali yake.

Zipo taarifa kuwa John Billy Tendwa anajiandaa kuwania Ubunge 2015 kwenye jimbo mojawapo mkoani Kilimanjaro. Ana matumaini kuwa atateuliwa na chama hiki cha kijani anachojipendekeza kwacho.Chama cha Mapinduzi hakijengwi wala kulindwa na Tendwa. Kilishajengwa na kulindwa na sasa kinateketea.Tendwa si msaada tena.

Kauli zake za kisiasa za kutishatisha vuguvugu la mbadiliko hazina nguvu.Hazina nafasi. Kwanza,hana mamlaka anayoyasema kwa namna anayojitambia. Chama maarufu kama CHADEMA hakifutwi hivihivi tu. Kama ni mpira wa miguu,basi refarii aumalize mpira huu akiwa tayari amejitafutia njia ya kukimbilia. Lakini,ipo siku atagundua kuwa CCM si chama cha siasa ili ni genge la waropokaji na wachumia tumbo. Watamtenda tu...
 
John Billy Tendwa,Msajili wa Vyama vya Siasa nchini,amegeuka mwanasiasa wa chama cha Mapinduzi. Tendwa,mhitimu wa Shahada ya Kwanza ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,hatumii vyema uanasheria wake. Tendwa,aliyepata Uwakili tarehe 13/6/2008 na kuwa na nambari ya Uwakili 1018,hatumii weredi wake wa kisheria ipasavyo.Anajipendekeza kwa CCM na Serikali yake.

Zipo taarifa kuwa John Billy Tendwa anajiandaa kuwania Ubunge 2015 kwenye jimbo mojawapo mkoani Kilimanjaro. Ana matumaini kuwa atateuliwa na chama hiki cha kijani anachojipendekeza kwacho.Chama cha Mapinduzi hakijengwi wala kulindwa na Tendwa. Kilishajengwa na kulindwa na sasa kinateketea.Tendwa si msaada tena.

Kauli zake za kisiasa za kutishatisha vuguvugu la mbadiliko hazina nguvu.Hazina nafasi. Kwanza,hana mamlaka anayoyasema kwa namna anayojitambia. Chama maarufu kama CHADEMA hakifutwi hivihivi tu. Kama ni mpira wa miguu,basi refarii aumalize mpira huu akiwa tayari amejitafutia njia ya kukimbilia. Lakini,ipo siku atagundua kuwa CCM si chama cha siasa ili ni genge la waropokaji na wachumia tumbo. Watamtenda tu...

MKUU!

Tendwa tunamjua sana hapa kwetu GONJA. Kama ni kuja na kugombea Ubunge jimboni kwetu Same Mashariki aandike MAUMIVU. Hapati kitu MKUU!!!! Si anakujaga hapa Gonja Maore na mipombe yake!!!! HATUMUHITAJI kabisaaaaaaaaaaaa!!!!!!

Hapa safari hii ni PEOPLEEEEEEEEEEES' POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nasikia alishawahi kufumwa akifanya mapenzi na mke wake mwenyewe. Jamaa ana laana huyu.
 
Labda sijaelewa. Kama alikuwa akifanya mapenzi na mke wake mwenyewe, afumwe na nani tena wakati anafanya mapenzi na mke wake mwenyewe? Funguka kidogo basi tukuelewe.
 
Mi nadhani kauli ya kutokubali chochote cha TENDWA ni ngumu kumeza, kuna mianya ya kufanya mazungumzo nae kwanza kumueleza anachotakiwa kufanya yy kama msajiri kabla ya uamuzi kama huu.
Nani amueleze Tendwa nini cha kufanya zaidi ya yeye mwenyewe kujifunza nini cha kufanya katika ofisi.
 
Hata mimi nakubaliana na wewe mkuu.Manake adhabu aliyopewa ni kubwa sna.
 
Nani amueleze Tendwa nini cha kufanya zaidi ya yeye mwenyewe kujifunza nini cha kufanya katika ofisi.

Office ina mambo mengi bro ikiwa ni pamoja na kunyenyekea aliekuwe hapo hasa katika mfumo huu wa Tanzania. Nabakia palepale ni kumwita na kuongea nae kuhusu madhala ya kile anachokiongea katika umma na hatari katika demikrasia ya kweli. Najua atakua na mizizi juu ya kila anachokitamka na ni kutokana na katiba hii ya 77 na madaraka ya mkuu wa nchi.

B4 any act zungumzeni nae kwanza. Ni sawa na kosa lililotaka tokea dhidi ya Malawi kuanza kujiandaa kivita akati hata mazungumzo nao bado, THAT IS SIMPLY AN ACT OF WAR!
 
Kweli ataTendwa mchana kweupeeeee.....nilisema hapo awali hii itakuwa ni kama ile ya yule RPC wa Dar enzi zile, Ngugu Triphone Maji alivoenda na Maji.
 
Nasikia alishawahi kufumwa akifanya mapenzi na mke wake mwenyewe. Jamaa ana laana huyu.

Haya ni personal issues na familia yake nadhani tuzungumzie utendaji wake. Na ndio maana Crinton alipata kashfa kama hii tena akiwa bado madarakani ila anaendelea kua miongoni mwa maraisi kipenzi wa USA kwa kujenga uchumi na diplomatic ways for far East matters.
 
Alikurupuka na sasa yatamtokea puani, alikula maganda ametoka magamba, so in short Tendwa ni gamba lililokubuhu siyo objective so hafai kuwa msajili wa vyama vya siasa nchini.
 
Aiseee babaangu kazi yake itaisha 2015 ambapo katiba mpya itakapokuja ajili wa vyama hato teuliwa na rais
 
nchi hii ina vituko vingi
msajili wa vyama vya siasa kuteulia na raisi wa chama tawala,
polisi wana mamlaka ya kuzitisha maandamano halali au kuzuia bila kibali cha mahakama
msajili wa vyama vya siasa ana mamlaka ya kufuta chama kwa maamuzi yake binafsi na kwa utashi wake
viongozi wa tume ya uchaguzi kuchaguliwa na rais wa chama tawala
HAKI IKO WAPI TUSIKUBALI KUINGIA UCHAGUZI MPYA BILA HAYA YOTE KUBADILISHWA.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom