Tendwa aionya tena CHADEMA...

Tendwa aionya tena CHADEMA...

...jamani msimlaumu tendwa, amefanywa kama mbuzi wa kafara, kimsingi ccm wanaona chadema wakifanikiwa kwenye huu mkakati wa vijana basi ccm chali mchana kweupeee, so lazima waupinge kwa nguvu zote kwa maslahi ya ccm...
 
UJINGA UPO HAPA
A) Tendwa ameshindwa kufafanua nini maana pana ya neno "nguvu" na je utajilinda bila nguvu? na je kama ni vikundi kwa ajili ya kujilinda Chadema walitamka lini kuwa watatumia " nguvu" kujilinda na kuwalinda viongozi wa chama"
Naomba tendwa atoe ufaafaunizi mpana kama mwanasheria juu ya nini maana ya neno "nguvu" (Broader interpretation of the word " nguvu") na je nini tofauti kati ya "ukakamavu" na "nguvu"

Tumsamehe Bure Msajiri hana uwezo wa Kubishana na watu kama Mwigulu au Nape Nnauye maana waingiapo ofisini kwake huwenda wana muwakirisha Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye kamuweka pale alipo
 
Tendwa mzee wangu, yaani njaa inakufanya ifikie mahala hapa wakati Same kule Gonja kuna mito mingi tu na hali ya hewa nzuri kwa kilimo na ufugaji, hebu tafakari then uchukue hatua.
 
Tendwa is completely going bonkers these days.I guess he is becoming senile as the days go by.He doesn't make any sense on what ever he talks about.
 
Inatia wasiwasi kama unakua na msajili aa vyama ambae hata maelezi yake ni ya ovyo kaa yalihoandikwa na kijaa aliegoka kunuaa gongo mawlezo hyajnganiki eti
 
Hivi Muda wake wa kusajili vyama unaisha lini? anaboa/chefua huyo mzee
 
"....,..........Anaongeza kuwa CHADEMA wanaruhusiwa kuanzisha vikundi vya kujilinda lakini hawaruhusiwi kuanzisha mafunzo ya kutumia nguvu kwaajili ya kujilinda kama walivyotangaza katika mikutano yao ya hadhara kwani ni kinyume na Demokrasia na Katiba ya Jamuhuri ya Muungano..............."

Afu we mwaikenda unasema Tendwa ni nani?!? Mwanasheria??!!?? Eee!!! Mie Sijui wajameni ngojea niangalizie makabrasha Kama ni kweli Kwamba HII Mutu ni mwanasheria niandalieni begi langu nihame Nchi Kama wanasheria wa Nchi HII wako hivi??!!?.

"decision power of any lawyer applies" means a decision of an administrative character made, proposed to be made, or required to be made (whether in the exercise of a discretion or not and whether before or after the commencement of this definition), Msajili proved the character failure on decision factor. I never hear this Mzee condeming the rulling part on madudu actions wanayoyafanya..Bungeni Na mikutanoni, halafu nisikie thi Mzee eti ni lawyer?!?
 
Last edited by a moderator:
Tendwa ni katibu mwenezi wa CCM mi wala sishangai na maneno yake,
 
post zenu hazina ufafanuzi wowote.kwe maandishi ya kijani anasema UJINGA UPO HAPA. yaani kwenye green au?.
maana maelezo ya rangi nyeupe hata darasa la saba anaelewa.yaani wanatakiwa wawe na ulinzi shirikishi kwa ajili ya taarifa.au mtoa mada kwenye green passage angetuambia ni lini green gard ili act as a police.au iliwahi kutumia mabavu kuwalinda viongozi
au mnadhani hicho kitendo cha kukataa polisi kwenye mikutano yenu nani atakubali.tunao hudhuria kwenye mikutano ni wa tz wote sio cdm peke yao.
au ndo mnatekeleza kauli ya mbowe jangwani.kwamba polisi ikiendelea na uonevu cdm tutajibu mapigo....
 
masikini babu wa watu..kama mtoto wa vidudu
Mkuu kwa kuwa msajiri kakili kuruhusu vyama kujilinda basi mimi naona kamaliza kila kitu, tukumbuke Mzee Tendwa ni Jaji kama sikosei sina shaka anajua fika anacho sema, reading between the lines anaonekana kuwekewa shinikizo la aina fulani vile - hata ukumwangalia anapotoa kauli tata unamuona kabisa hayuko comfortable. Labda niulize kitu: hivi Maskauti wanapo fundishwa ukakamavu upewa silaha? Dunia itatuelewa vipi wakiona picha za kikundi cha chama fulani kikiwa na vijana walioshikilia Silaha na hajulikani kama ni silaha kweli au matoyi alafu hapo hapo Wahusika wanasema vyama vingine havina haki/haviruhusiwi kuwa na kikundi kama chao kujilinda!! Tunapo kuwa na double standard nchini tunakuwa na malengo gani? Kwa nini usitolewe uhamuzi wa hama kuruhusu vyama vyote viwe na walinzi wao au kufutilia mbali vikundi vyote bila ya kujali chama. Hii inasikitisha sana, Taifa linaingizwa kwenye malumbano yasiyo na tija na akiangalia kwa umakini mambo mengi yanayo kuzwa hayana ukweli wowote wana tunga kwa madhumuni ya kuchanganya akili wananchi!! Nani Mtanzania mwenye akili timamu ambaye anaweza kuhunga mkono vyama au vikundi vyenye kuhashiria uvunjifu wa AMANI, na wala siamini kama kuna chama ambacho kinataka kuvunja amani kwa kuleta vurugu nchini ili kiweze kuhingia/kubaki madarakani - Watanzania wanawezaje kuvurugana wenyewe kwa wenyewe kugombea madaraka, huu si utamaduni wetu: Nionavyo mimi Vurugu sitatokana na Viongozi ambao hawatafakali mambo vizuri wanao waona Watanzania wenzao kama mahadui kila kitu wanacho kifanya wanakiona kina walakini - Watanzania wa leo sio mbumbumbu tena, kwa nini umuwahachii wananchi wakatafakali mambo on their own badala ya kupandikiza chuki kila kukicha si redioni si kwenye luninga si kwenye mitandao kutisha tisha Raia masaa yote.
 
Kwa nini asianze kuyachukulia hatua maCCM yanayotoa hadi vyeti vya kudhuru binadamu?
 
Tendwa kama Tendwa ameshaona aibu kuzungumzia mambo ya Red Brigade baada ya kupewa ushahidi wa kujitosheleza juu ya kikundi cha green guard na uharamia wanaoufanya.

Sasa kwakuwa watu wa lumumba ndio wanaoandaa haya matamko na kumpelekea ayasome bila shaka ameona aibu kuendelea kuletewa matamko kutoka lumumba na hivyo ameamua kuwaachia wasaidizi wake kuyatoa kwa niaba ya ofisi yake. Matamko mawili ya mwisho kutoka ofisi ya msajili yametolewa/yamesainiwa na watu wengine/wasaidizi wake. Nadhani ameona aibu kuyasaini yeye kwakuwa aibu inazidi kumuandama yeye na familia yake kwa kukubali kujigeuza kuwa dekio la ccm.
 
Back
Top Bottom