sabanga sent
Member
- May 25, 2013
- 25
- 3
tendwa anazeeka vibaya na pia anatumiwa na ccm
You know what is insernity...
Naona ameanza kuongeza maneno mengine kisha kujitafutia hukumu. This guy has completely lost any moral authority, if at all he ever had before. Matokeo yake, hata ofisi yake yote itaanza kutafsirika kama alivyo yeye mwenyewe.
Tamko la CHADEMA lililotokana na maazimio ya Kamati Kuu, lilisema hivi;
4:0. Uchaguzi wa Madiwani.
Kamati Kuu imepokea taarifa kuhusu ushiriki wa CHADEMA katika Uchaguzi wa Madiwani uliofanyika tarehe 16/06/2013 katika kata 22.
 Kamati Kuu imeipongeza Sekretarieti na uongozi wa Kanda mbalimbali za CHADEMA kwa maandalizi mazuri katika Uchagzuzi huo uliosababisha CHADEMA kuwapokonya CCM ushindi katika kata 4 ilizokuwa imeshinda katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010. Kamati Kuu imewapongeza wananchi kwa kuipatia CHADEMA kura asilimia (47.7%) dhidi ya CCM (49%) na (3.3%) za CUF.
 Kamati kuu imesikitishwa na vitendo vya fujo walivyofanyiwa viongozi, wagombea pamoja na Wanachama mbalimbali katika sehemu mbalimbali palipo fanyika Uchaguzi. Kamati Kuu imesikitshwa na kulaani vitendo hivyo vikiwemo vya watu kukatwa mapanga , kuchomwa visu na kubakwa kwa akina Mama na vijana wahuni walioandaliwa na Chama cha Mapinduzi
 Kamati Kuu imelaani vitendo hivyo vya kinyama vilivyofanywa mbele ya jeshi la polisi na Wakuu wa Wilaya.
 Ili kukabiliana na vitendo vya fujo vinavyofanywa na vijana wa CCM dhidi ya wagombea, Wanachama na viongozi wa CHADEMA, Kamati Kuu imeagiza kwamba kitengo cha ulinzi cha Chama Red Brigade kiimarishwe zaidi kwa kuhakikisha kuwa vijana wote wa Red Brigade Nchi nzima wanapewa mafunzo maalum ya UKAKAMAVU yatakayoandaliwa katika Makambi maalum katika mikoa yote.
@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@@
Aya ya mwisho hapo kwenye tamko, ndiyo inayowahangaisha.
Sasa unaweza kulinganisha na hicho kinachosemwa kwenye tamko eti la ofisi ya msajili wa vyama. Baada ya ushahidi mfululizo kutolewa na kuibana serikali, ofisa wa dawati la propaganda nje ya Lumumb! amekurupushwa tena kuja kuropoka lolote.
Ofisi zingine za umma zinadhalilishwa sana.
Huyu mzee mbona anajivuruga mwenyewe! Anahitaji maombezi.
Vijana hebu muwe na huruma na huyu Kikongwe , kwa umri wake hastahili hata kuvuta sigara yenye kichungi bali anastahili KIKO .
Tendwa anafanya kazi kwa mkataba, Kwa kuwa yupo pale kwa mkataba, amekosa sifa za kisheria kusajiri au kufuta chama chochote cha siasa
Tendwa ni kihiyo, hajui kazi yake.
Anadhani msajili Wa vyama Ni taasisi ya CCM!
Vijana hebu muwe na huruma na huyu Kikongwe , kwa umri wake hastahili hata kuvuta sigara yenye kichungi bali anastahili KIKO .
Tendwa nahisi huyu mzee anazeeka vibaya....
Nchi GANI DUNIANI VIONGOZI wa kuandikisha VYAMA wana NGUVU zaidi ya Wabunge... NCHI YETU CCM inawapa NGUVU yoyote atakayeipa MCHECHETO CHADEMA
Hapa mimi nimechoka kabisa. Msajiri anasema vyama vinaruhusiwa kuanzisha vikundi ila visitumie nguvu kujilinda bali wajibu wao ni kutoa taarifa. Kuna haja ya kuwa na kikundi kwa ajiri ya taarifa tu?
Huyu mzee mbona anajivuruga mwenyewe! Anahitaji maombezi.