MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,274
- 43,850
Ni kweli. Kipindi cha nyuma wakuu wa shule, wahasibu na wagavi walikula sana rushwa. Wahuni walipiga mno hela. Ila kuna waliofilisika kwa kutolipwa. Binafsi kuna shule niliamua kumwachia tu Mungu maana waligoma kabisa kunilipa... ila wakati huu upuuzi umepungua kama sio kuisha kabisa.Kuna mtu wangu wa karibu anasambaza chakula mashuleni nakumbuka mwaka 2020 kitu kama icho alipewa pesa chap 100m akampa mhasibu 1m akaniambia sikuhizo pesa unaingia chap lakin ucheze sana na mhasibu