Tende za msaada ni salama?

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,583
32,237
Wakati huu wa mfungo. Huwa tunaletewa tende za Msaada toka Arabuni. Vipi kuhusu usalama wake? TBS wazipime tujue ubora wake
 
😂😂😂😂elimu dunia sio kipaombele chao na huko ndio kuna matakataka mengi.
 
Back
Top Bottom