fergie
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 280
- 127
Nipe namba yako pm tuwasilianeYani ni mtu wa kulalamika nikiwasaidia ndugu zangu apendi na akiona namtumia ela dada, au ndugu yoyote huwa apendi huu si roho mbaya
Nipe namba yako pm tuwasilianeYani ni mtu wa kulalamika nikiwasaidia ndugu zangu apendi na akiona namtumia ela dada, au ndugu yoyote huwa apendi huu si roho mbaya
kwa msimamo huu mario lazima waishe kwa njaa!mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
Pole sana mdada, kila binadamu hua na style yake yakutoa stress zake,siwezi kuongelea sana sababau huyo ni mpenzi wako,ila mimi ilinikuta kwa mume wangu namsomesha kwa hela yangu lakini mara kuna siku hataki kwenda shule ukimwambia mumewangu nenda bado kidogo tuu utamaliza weeeeee ataongea oooh sababu hela unatoa wewe usinisimange ntapata zangu maneno tele mpaka amemaliza tukaanza biashara nimechukua mkopo nikampa,ukiuliza umefikia wapi kosa ooooh kwa sababau umechukua wewe hela basi ntazirudisha nimevumilia mpaka sasa Alhamdulillah,na msamaha kaniomba kua mke wangu ile ilikua stress tuu,sasa huyo ni mwanamme na kama hana malengo na wewe bora umalizane nae kwa amani na hata akipata hiyo hela yake kua muungwana akikupa mwambie asante we songa mbele..Toka mpenzi wangu asimamishwe kazi ni mtu mwenye mawazo ila huwa namfariji, tatizo linakuja ninampomsaidia huwa nampa elfu 5 kama mahitaji kwa siku sasa jana nilimpa 1500 aende kula chakula cha jioni kwa mama ntilie toka jana analalamika ela gani ninayompa nilijisikia vibaya mno mana mi mwenyewe silipwi mshahara nabahatisha huko kazini akaanza kunitukana kuwa atakapoliwa mafao yake tusijuane tena kila mtu afanye yake nikamwambia poa.
hakika sisi binadamu sijui tumeumbwaje nimeamua tu nifanye maisha yangu sina jinsi
Asante sana rafiki sifikirii kabisa hiyo ela yake napigana kivyangu, mara ya mwisho kapewa mshahara wake mwezi huu tarehe 01 imekwisha tarehe 10 mwezi huu kweli laki 2 iishe ndani ya siku 10 namwachia MunguPole sana mdada, kila binadamu hua na style yake yakutoa stress zake,siwezi kuongelea sana sababau huyo ni mpenzi wako,ila mimi ilinikuta kwa mume wangu namsomesha kwa hela yangu lakini mara kuna siku hataki kwenda shule ukimwambia mumewangu nenda bado kidogo tuu utamaliza weeeeee ataongea oooh sababu hela unatoa wewe usinisimange ntapata zangu maneno tele mpaka amemaliza tukaanza biashara nimechukua mkopo nikampa,ukiuliza umefikia wapi kosa ooooh kwa sababau umechukua wewe hela basi ntazirudisha nimevumilia mpaka sasa Alhamdulillah,na msamaha kaniomba kua mke wangu ile ilikua stress tuu,sasa huyo ni mwanamme na kama hana malengo na wewe bora umalizane nae kwa amani na hata akipata hiyo hela yake kua muungwana akikupa mwambie asante we songa mbele..
Kama ingekuwa wewe ndo umefukuzwa kazi pia haruhusiwi kukupa pesa? Au kwa sababu wewe mwanamke ndo una haki ya kupewa?Pole mdada.. Pata somo hapo mwanaume hapewi hela..pole sana
Hahahamblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?

Kuna wanawake wenye vipaji maalumu hakyamama!!!mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
nimekuelewa vizuri.Pole aisee
true love happens once in a life time,kama haoni dhamani yako leo ataiona siku akiwa mbali na wewe
Respectnimekuelewa vizuri.
huyu dada asitishe afanye yake Mungu atamsaidia ba yeye atapata mtu atae ishi nae vzur asie na malalamiko na vinyongi vya ajabuajabu.
kwa kweli ni kipajiKuna wanawake wenye vipaji maalumu hakyamama!!!
Hiyo hela mtumie hata mamako akupe baraka ndugu!!!
Unamhudumia ni Kaka yako huyo, tena hata shukrani hana????
acha banaMiss Chagga katika ubora wake wa kupenda ngawira. Bi dada anapenda pesa kuliko hata pochi inavyopenda pesa.
Tena ulioptliza c aende kwa wazaz wake wew ndo una kaz ya kumlisha hapo ajakuoa akikuoa akacmamishwa kaz utaomba poomblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
kwa kweliTena ulioptliza c aende kwa wazaz wake wew ndo una kaz ya kumlisha hapo ajakuoa akikuoa akacmamishwa kaz utaomba poo