miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
shikamoo kaka mpenzi....haya dada mpenzi ni maneno yako au kuna mtu kakuandikia....!!???
shikamoo kaka mpenzi....haya dada mpenzi ni maneno yako au kuna mtu kakuandikia....!!???
Kila kitu kikifanyika kwa kiasi mambo yote huwa shwari![]()
mkuu hakuna mwenye haki na hela za watu.. Ila wapenzi waliodekezwa km Wa mtoa mada ndio kwa ujinga wao wanahisi wana haki na hela za watu kwamba wao halali yao wapewe tu na zikipungua kiwango walichozoeshwa inakuwa ugomvi.
Yani ni mtu wa kulalamika nikiwasaidia ndugu zangu apendi na akiona namtumia ela dada, au ndugu yoyote huwa apendi huu si roho mbayaDah, Shem, mbona huyo jamaa si mwelewa kabisa? duh, amepata mke mzuri hivyo analeta shida tena? Yeye anafikiri ela unatoa wapi? majukumu ya kiume hayo, na kama hana kazi anavunga tu na kuwa mpole!!!!! Huyo kuwa mme, duh, sijui Dada!!!
Aiseendio mkuu
mwalimu nani?Aisee
Umenikumbusha enzi za mwalimu
Marahaba, upo? nitafute dada mpenzishikamoo kaka mpenzi....
Mmmmmmh Mchaga na Shekeli bhna daaaaaah noumer saanamblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
Mwl Nyereremwalimu nani?
Mambo ya zamani HayoMwl Nyerere
mana enzi zile mtoto wa kike ananyimwa haki za kusoma,mwanamke hasikilizwi,hana haki ya kumiliki mali...........
mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu

unakubaliana na kauli yako(mwanamke kumpa mpenzi wake hela ni mambo ya kijinga)Mambo ya zamani Hayo
sawa kaka mpezni nitakutafutaMarahaba, upo? nitafute dada mpenzi
mkuu hili halibadiliki mkuuunakubaliana na kauli yako(mwanamke kumpa mpenzi wake hela ni mambo ya kijinga)
Mimi naamini katika kiasi.mkuu hili halibadiliki mkuu
sawa mkuuMimi naamini katika kiasi.
kila kitu kifanyike kwa kiasi.
Jamani unauliza jibu!!Kwani ni nani mwenye haki na hela za watu?
😡Jamani unauliza jibu!!
Kumpa mwanaume hela sio shida, ukizingatia kaachishwa kazi!mblock mpotezee.. kwanza kwa nini unampa mwanaume hela ? kwaa nini atii?
acha ujinga iyo pesa save unajua hiyo 5000 unayoompa kila siku ungekuwa unaweka kwenye kibubu ungekuwa na sh ngapi?
5000*365=1,825,000tsh .. na in usd 700usd na zaidi wewe acha ujinga wewe utakufa msikini..
halafu siku anaenda kukutia unatoa pesa wewe ya gesti, chakula, vinywaji na nauli.. uwii zaidiya ukichaa huu
duh sawaKumpa mwanaume hela sio shida, ukizingatia kaachishwa kazi!
Tatizo kubwa hapa na ambalo linastahili kukemewa ni hii tabia ya huyu jamaa kutoshukuru/kuridhika kwa kile anachofanyiwa!
Ukisema hiyo hela aweke kibubu sio rahisi kuwa ataweza kuiweka kweli! Sio kila mtu ana uwezo wa kuweka kibubu, wengine huvivunja tu baada ya siku chache