Tenda wema nenda zako

Tenda wema nenda zako

Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
You sound to be a fool and Idiot too by failing to mention the name of the late president Magufuli well. I mean you've a problem of mixing L and R. By the way his name was "Magufuli" not "Magufuri".
 
Sasa ndo naanza kuelewa kumbe marehemu alivyo kuwa anatembezwa ilikuwa ni kuonyesha watz kuwa the killer was gone.
Alitembezwa baadae mpaka skawa ananuka hovyo kama mzoga wa kenge
 
Kwahiyo Magufuli bado yupo hai mpaka leo?
Hatutaki inafiki. Nakumbuka kipindi amekufa nilikuwa Kambi flani, siku hiyo nilikunywa BIA mess mpaka ahsubuhi naenda master pared niko raba mbaya.

Maana kipindi chake kulikuwa na umbea kwenye makambi hatari.
 
Watu kama nyie nawahurumia sana hapa duniani !!
Mwisho wenu uwaga ni aibu.
Kwani mungu wenu ameondoka Kwa baraka? Kafa kwa laana maana aliyekusudia kumuua Kwa risasi yupo mzima na afya tele.

Lenyewe limekufa kifo kibaya kifo Cha COVID.

Lilikuwa linataka tuliombee! Manina muuwaji umuombee Aishi Ili aendelee kuuwa watu na kuuwa democrasia.

Tukaomba afe. Akafa haraka bila kuacha usia.

Ataendelea kulaaniwa Kwa matendo yake mabaya ya kishetani.
 
Yote hii ni sababu alikubutua akakuacha?

Kwani mimi nilikutuma ukampanulie?
Misukule yake yote hamna akili. Wewe na ndugu Yako sabaya. Mawakala wa ibilisi marehemu magu aliyepo kuzimu.

Aliyepigwa risasi yupo aliyepiga risasi kafa na mavi yake tumboni.

Alikuwa mchafu wa mwili na roho.
 
Hivi kwa mfano tuamue kupiga kura sasaivi Kati ya Yes au No kwa Magufuli..mnadhani ipi itashinda..? Swali hilo wajameni
 
Wanaomchukia JPM wataendelea kuteseka Sana Hadi pale watu walio mtaani watapoacha kumkumbuka JPM kwa mema yake!

Kadri Jamii ya watu inavyomkumbuka JPM , ndivyo wanaomchukia wanavyozidi kuteseka mioyo yao!

Huwa wanapata faraja yao pale wanapoona au kusikia mtu anamtukana JPM!

Chuki hutesa Sana nafsi!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
Wanaomtukana na wanaofurahia ni wapuuzi bisha!
 
HAPO ni ngumu Sana kuthibitisha uhusika wake kwenye hizo tuhuma!!

UNAFIKIRI alisema "ya huyu !maliza yule!!? UNAFIKIRI ni hivyo!!?

Kweli! Kwamba mimi NDIO Rais "maliza huyu"!muue yule"!!!?

Tuyaache tu!

Tuendelee kulipa kodi!
Uthibitisho kauli yake na matendo yake dhidi ya Tundu Lissu.

Msaliti lazima auwawe
Hakutaka tumchangie damu
Akakata mshahara na matibabu
Akatangaza Jimbo liko wazi

Hivyo vyote vinathibitisha kuwa alikuwa rais muuwaji.

Viroba Kila siku vikawa vinaokotwa Coco beach na mto ruvu.

Tushukuru mungu, ameliondoa haraka ssna
 
Siku nikienda chato nitajisaidia haja kubwa juu ya kaburi lake
 
Hatutaki inafiki. Nakumbuka kipindi amekufa nilikuwa Kambi flani, siku hiyo nilikunywa BIA mess mpaka ahsubuhi naenda master pared niko raba mbaya.

Maana kipindi chake kulikuwa na umbea kwenye makambi hatari.
Sasa kama amekufa, na mlishangilia; mbona waliompiga risasi Tundu Lissu hamjawakamata mpaka sasa?
 
Kufurahi kwako itakusaidia nini mkuu? Kila nafsi itaonja umauti, na hakuna atakaebakia ila Allah peke yake.
 
Kufurahi kwako itakusaidia nini mkuu? Kila nafsi itaonja umauti, na hakuna atakaebakia ila Allah peke yake.
Ata wewe ulifurahi mkuu.kwani Allah anaruhusu uuaji na kukandamiza demokrasia??tusimsingizie allah
 
Siku nikienda chato nitajisaidia haja kubwa juu ya kaburi lake

Ata wewe ulifurahi mkuu.kwani Allah anaruhusu uuaji na kukandamiza demokrasia??tusimsingizie allah
Kufurahia kifo cha mwenzio unapata faida ipi?

Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia

Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom