Tenda wema nenda zako

Tenda wema nenda zako

Lakini njia za Mungu wala si zetu wanadamu, tusimfanyie hukumu kwani hukumu na kisasi ni vyake yeye
Amekwisha kuhukumiwa aliyoyafanya yamejidhihirisha kuwa alikuwa muuwaji.

Kain alipomuuwa Abel alihukumiwa kwa kukataliwa na mungu.

Maandiko yanasema baada ya kifo ni hukumu. Magufuri amekwisha hukumiwa.
 
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
Bahati mbaya MUNGU si mwanadamu hapo umekula wali maharage unafikiria upuuz Sir God ni mwingi wa rehema, haujui mwisho wake alimalizana vipi na MUNGU wake.Visasi ni vya shetani jitafakari anaonekana ibilisi anatawala mawazo yako.
 
Alikuwa na visasi hawezi samehewa ana dhambi nyingi kuliko shetani
 
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
🤣🤣🤣
 
Sasa mbona hao hamuwakumbuki hata kwa yenye heri.? Nape bwana
 
Naamini kabisa kuwa hata viongozi wakubwa wa CCM wanakili kuwa tulipotea.

Rais mwehu
 
Nchi ilikuwa kila siku lazima usikie fulani katumbuliwa, au kapotea mara miili imeokotwa coco beach.

Yaani miili ya watu kwenye viroba alafu hatustuki
 
Aliingia madarakani bila baraka za mungu ndio maana kila anaemkosoa alikuwa anadhani ni adui.

Angalia alivyotuharibia bunge. Siku hizi huwezi Kuta watu wanaangalia bunge.

Yaani tumekuwa nchi ya ajabu sana.

Mshukuru mungu
Acha upuuzi
 
Acha upuuzi
Naona watoto wa juzi wanaongelea ya lisu tu na beni Kwa ubaya wa magu eti alikua muuwaji nauli kwani mauaji yalianza awamu ya Tano? Vipi kuhusu ulimboka kuokotwa mabwepande? Nae alijua ni magu? Au tuweke orodha ili mjifunze hakuna Alie mwema? Hao mnaona wako kimya mbona Kuna damu zinawalilia? Au mmekua vipofu Kwa sababu mnalamba asali?
 
Nawewe ni kiazi kama alivyokuwa kiazi yule muovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom