Tenda wema nenda zako

Tenda wema nenda zako

Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
Mkewe,watoto,ndugu,jamaa,marafiki na watetea "regase" watusamehe sana.Wengine tumezaliwa na tabia za kujieleza kwa wepesi.Hatujui kudanganya tunapochukia au kufurahi.😂😂😂😂😂
 
Kichaa alipewa kisu, manina akadukua mpaka mawasiliano ya wastaafu Hadi waziri akanyoshewa siraha.

Nchi ilikuwa mikononi mwa kichaa.
Mbunge anapogwa risasi hadharani unategemea nini.

Alikuwa kichaa mwehu
Mwamba angekuwepo mpaka sasa aisee kuna vilaza wangenyooka tuu
 
Kuna pimbi Fulani alituharibia nchi yetu.

Tunaendelea kumlaani ili asijetokea mpumbafu mwingine kama yule
Huyu mfalme mnayemtukana hakuwa mbaya kama angeendelea kuyabana majizi ya nchi hii na akatengeneza mfumo akaachana na ONE MAN SHOW! Pia asingeuwa watu hovyo angekuwa bora sana. Sasa yupi bora kati ya huyo na huyu wa sasa mla UROJO aliyerudisha mijizi yote? Msipotengeneza MFUMO iko siku mpumbafu mwingine atatawala! Jigunzeni Kenya.
 
Naona watoto wa juzi wanaongelea ya lisu tu na beni Kwa ubaya wa magu eti alikua muuwaji nauli kwani mauaji yalianza awamu ya Tano? Vipi kuhusu ulimboka kuokotwa mabwepande? Nae alijua ni magu? Au tuweke orodha ili mjifunze hakuna Alie mwema? Hao mnaona wako kimya mbona Kuna damu zinawalilia? Au mmekua vipofu Kwa sababu mnalamba asali?
Na wewe ndiyo walewale misukule ya yule dhalim

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Huwezi mpangia Mungu hukumu.
Mungu hawazi wala kutenda kama sisi wanadamu,unaweza kutukana sana kumbe Mwenzenu yupo Mbinguni nyie huku mishipa inawatoka.
Hata kama yuko mbinguni wacha akae na Mungu, maana Mungu ni muweza wa yote anaweza hata kumthibiti shetani. Mungu hawezi kuruhusu sheteni aishi kati yetu sisi kondoo wake, tutateseka sana.
 
Hongera sana waanxilishi wa jamii forum.

Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.

Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.

Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.

Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.

Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.

Nafurahi sana
Jifunze kuandika vitu vinavyoelewka. Kabla ya kutuma uzi pitia kwanza halafu u-edit
 
Aliuwa watu wengi sana. Hata waliompiga risasi tundu lissu hawajakamatwa mpaka leo.

Aliyofanya haya yanamuhukumu. Tulikuwa na rais kiazi kibichi. Rais mwehuView attachment 2362950
HAPO ni ngumu Sana kuthibitisha uhusika wake kwenye hizo tuhuma!!

UNAFIKIRI alisema "ya huyu !maliza yule!!? UNAFIKIRI ni hivyo!!?

Kweli! Kwamba mimi NDIO Rais "maliza huyu"!muue yule"!!!?

Tuyaache tu!

Tuendelee kulipa kodi!
 
Hata kama yuko mbinguni wacha akae na Mungu, maana Mungu ni muweza wa yote anaweza hata kumthibiti shetani. Mungu hawezi kuruhusu sheteni aishi kati yetu sisi kondoo wake, tutateseka sana.
Maneno yako ya jf hayana effect yeyote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom