Boss wewe utaenda mbinguniHongera sana waanxilishi wa jamii forum.
Huwa najisikia Raha nikiona humu ndani magufuri anatukanwa.
Huwezi amini tuna viongozi watatu wameyangulia mbele za haki.
Nyerere, mkapa na magufuri
Anaye pondwa na kutukanwa sana ni magufuri tu. Hebu fikiria hii wanamwita alikuwa kiazi kibichi.
Yaani alikuwa kiazi Tena kibichi.
Mwehu, kichaa, mpumbafu yaani Kila aina ya tusi.
Inaonekana alikuwa na dhambi sana. Nadhani anaendelea kuungua kwenye makaa ya mawe.
Nafurahi sana
Kama anavyotajwa sana yule mrs amsterdam kule belgiji?
Kufurahia kifo cha mwenzio unapata faida ipi?
Allah ameharamisha kuua watu wasio na hatia
Kwa mujibu wa Quran, kumuua mtu asiye na hatia ni moja ya madhambi makubwa mno: