Hii thread nimeianzisha kwa ushauri wa Max aliyesema kama ninataka nianzishe ili apate kunijibu.
Kila mtu ana uhuru wa kujadiliana ila sitopenda copy and paste
Nataka vile mtu alivyosoma mwenyewe theology au hata vitabu vingine, kukopi kazi ya mtu mwingine haitasaidia chochote [ KWA WALE WASOMI NDIO MAANA KUNA MITIHANI MADARASANI.]
Moses alizaliwa {makadirio} miaka 1400 kabla ya kristo.
Moses ndie aliyepewa amri kumi za mungu
Katika torat ndio wanaosema alionana na mungu macho kwa macho.
Waislamu wanamuita Musa bwana wa mabwana.
Yesu aliwahi kuulizwa je umekuja kuibadilisha torat ya Moses? akajibu sikuja kuibadili bali kuiboresha {kwa maana hio kuongezea machache nakuendelea aliyoacha Moses.
Moses alipewa amri kumi na mungu kwenye jiwe, na lugha iliyotumika wakati ule ilikua Hebrew.
Katika kusoma historia ya hebrew ni kwamba miaka 1400 kabla ya kristo kulikua hakuna alphabet za hebrew.
Max maswali yangu ni haya
1.Kama Moses/Musa alipewa amri kumi za mungu na lugha iliyotumika ni hebrew, imekuaje imepishana uhai wake na amri kumi alizopewa.
2. Kama alphabet za Hebrew zilikuja karne na karne baada ya uhai wa moses kuna mtu mwingine alipewa amri kumi za mungu?
3.Moses wa kwenye bible na torat ni huyo huyo mmoja au wawili?
4.Je kuna moses wa kabla ya yesu na wa baada ya yesu aliyepewa amri kumi za mungu?
Kama utanijibu haya maswali manne tu, basi kuanzia leo nitaamini kwamba Torah, bible na quran ni vitabu vya kweli na nitaanza kufuata dini, lakini kama sijapata jibu lolote kuhusu huyu Moses tu, basi nitaamini kwamba vitabu vyoote vilifanywa kutungwa tu na wajanja.
Ni mimi wako
Kingunge