Ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye amejiandaa kutokukuelewa, ngumu sana! Max wewe una moyo mkuu, ni mvumilivu mno! endelea tu baba hata Sauli (Paulo) alikuwa na moyo mgumu hivyo kumwamini Yesu, lakini siku moja akauona ukweli. Naamini kwa moyo wako huo, siku moja Darwin ataitambua ile kweli, nawe utakuwa umezalisha talanta yako.