Ni vigumu sana kumuelewesha mtu ambaye amejiandaa kutokukuelewa, ngumu sana! Max wewe una moyo mkuu, ni mvumilivu mno! endelea tu baba hata Sauli (Paulo) alikuwa na moyo mgumu hivyo kumwamini Yesu, lakini siku moja akauona ukweli. .
Paulo amehubiri salvation is through faith alone and that deeds dont count.
When Jesus was asked what one ought to do to attain salvation he said keep the commandments.
Wewe unadai Paulo alimuamini Yesu, huoni kwamba ukristo ni dini ya Paulo na sio dini ya Yesu?. Paulo amakuja kuvuruga mambo mengi aliyofundisha Yesu. Yesu mwenye anasema kila anachofanya kinatokana na uwezo wa Mungu, Yesu anasema muabuduni Mungu wenu na wangu, hizi aya ziko wazi ndani ya Biblia. Paulo anaibuka na kufundisha watu kwamba Mungu ni Yesu wakati mwenyewe (Yesu) amenukuliwa ndani ya Biblia akisema 'worship your Lord and my Lord'. Yesu huyo huyo amemuita Mungu as the 'one who sent me' sasa nani mwenye ubavu wa kumtuma Mungu kama yeye ni Mungu na Mungu ni mmoja tu?
Yesu mwenyewe hakuwahi hata kusikia neno Ukristo. Soma historia ya neno Christianity na origin ya neno hilo.
Ina maana hamuoni sheria za Kikristo hutungwa na binaadamu? Juzi Lutheran Church limehalalisha gay priests kwa mtindo wa kupiga kura wakati Biblia clearly inasema Mungu aliwaadhibu wahusika-can anyone in his right mind attribute that decision to 'inspiration' from God wakati process ilikuwa kuangalia majority ya kura? Waliotenda vitendo vilivyopelekea kuangamizwa leo hii ndio wana majukumu ya kuwasaidia waumini wafike kwenye pepo ya Mungu!!!
Uingereza Protestant Bishops wanasema sio lazima uamini Yesu ni Mungu ili uwe mkristo!! Sasa kama fundamental issue kama Mungu ni nani linakosa unanimousity among learned scholars of the faith waumini wa kawaida watakuwa katika hali gani?
Jambo moja niweke wazi
Wakristo wengi are worshipping Jesus all their lives kwa kuamini yeye ni Mungu. Waislamu wote hawamuabudu Yesu (PBUH) wala Muhammad (PBUH) wala MUssa (PBUH) na wanaamini hawa wawili wote ni wajumbe/manabii wa Mungu na kuheshimiwa sana na kupendwa kwa sifa hiyo ya kuwa wawakilishi ama watumwa wa Mungu.
Sasa kinadharia kama Yesu ni Mungu ina maana waislamu wote walipoteza kuda wao katika maisha yao kwa kuwamini kwamba kuna Mungu ambaye si Yesu na kama Yesu si Mungu wakristo watajikuta walikuwa wakiabudu binaadamu all their lives.
Both cannot be right, lazima mmoja has to suffer an 'ultimate regret' on Judgement Day for worshipping a wrong God all his life.
Swala la Yesu ni Mungu ama sio, si la kuchezea, wrong answer means eternal regret. Max mwaga hoja.
Nawakilisha.