Ten commandments of crack by b.i.g

Ten commandments of crack by b.i.g

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
1,536
Reaction score
1,997
Wakuu wale wadau wa hiphop hebu andika amri moja hapa kutoka katika hii ngoma na uielezee unavyoweza kuitumia katika maisha yetu ya kila siku.Najua jamaa aliimba kuhusu 'Crack' ila hizi ni sheria zinazofanya kazi katika maisha ya biashara.Yangu ni hii.

Dont get high on youre own supply.
Hii jamaa anazungumzia kwamba usile mtaji wa biashara yako unayoifanya utaishia kuua biashara.Je yako ni ipi?
 
Don’t deal where you live.
Anakuambia usifanyie biz unapoishi either with family au alone. Inasaidia kutenganisha personal life na biz life.
 
Back
Top Bottom