Tembo wetu wanazidi kuteketea

bornagain

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
3,383
Reaction score
1,360

Kusema ukweli huenda hii biashara inalipa sana, maana ingawa bunge linapiga kelele lakini wapi hata leo navoongea tembo wanapigwa na mishale ya sumu na meno kung'olewa.Tafadhari mwenye uelewa anifahamishe hivi bei ya jino moja ni shilingi ngapi kiasi cha mtu kukubali kukabidhi roho yake kwa ajili ya hii kitu.Natamani kama ningempata anaejua bei ili niilinganishe na uhai wa mwanadamu
 
kinana, kinana, kinana, kinana utatumalizia tembo wetu.
 
Unataka kujiunga kwenye ujangili au?pita lumumba muulizie mmoja mwenye asili ya nchi jirani yenye machafuko,huyo ndiye mwenye daftari la usajili ila naskia amepigwa mtaji kwa hiyo sijui kama anaendelea kusajili au la.
 
Kinana, anawinda, anatoa meno, Kinana Meli zake zinasafirisha, Kinana anasoko lake CHINA, Kumbuka hivi majuzi alienda CHINA
 
Du haya sasa kumbe Kinana ni zaidi ya TANAPA
 
Nikujibu kama ulivyouliza,jino moja ni Dollar 10,000 kwa hiyo thamani ya tembo mmoja ni 20,000 ,na kama ukipata moja tu la Faru ni 30,000,pale Singapore.Swali jingine..??
 
Nikujibu kama ulivyouliza,jino moja ni Dollar 10,000 kwa hiyo thamani ya tembo mmoja ni 20,000 ,na kama ukipata moja tu la Faru ni 30,000,pale Singapore.Swali jingine..??

Du hapa si mpaka niwe na meli ama niwe shipping agent, please nipe bei ya hapa hapa Tanzania ndugu yangu nione kama naweza kujitosa maana nataka kupiga mara moja then nifanye biashara zangu,wale wanaopiga mara nyingi na kunogewa ndo wanadakwa
 
DuH.???Bwana mdogo unataka kuwa Jangili......?????????????????
 
Mzigo unatoka sana, code name MIHOGO,
Market price index leo imesimama kwenye US$ 12,000 per pc..! Sawa na SING$ 14,868:sad:
 
Duh huu ni ukatili uliopitiliza. Chopping its head part. Kweli hii ni Kinanaism....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…