Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana

GONGO BOY

Member
Joined
Jul 18, 2026
Posts
94
Reaction score
187
Jaman sisi wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne

Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikali iziondoe huku
20260816_163505.jpg
20260816_163505.jpg
20260816_163745.jpg

Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
Wanazingua hawa nakumbuka shambani nafanya kazi kwa kuvizia na wakija group wanakanyaga ufuta an fujo daah huzuni kazi uliyofanya miezi wao wanaharibu siku Moja tu
 
Jaman sis wa huku mikoani tembo imekua kero kubwa sana yaan kutwa nzima untembea na tembo hadi unaona kero,watu wanajiongeza wanalima bustani ili wajiajiri tembo wanakuja kula mazao yote na kuharibu mazao mengne
Serikali inatakiwa ichukue hatua mapema make vijana tunaweza kuchukulia kam fursa make sasa wamezidi ni mwaka wa tatu huu tunahangaika tunaomba serikal iziondoe hukuView attachment 3651589View attachment 3651589View attachment 3651590
View attachment 3651591
ROSTAM AZIXI KAKUTUMA ILI APATE SABABU YA KUPORA MALI ZA UMMA?
 
Back
Top Bottom