Tembo aonekana Temboni, Makubwa Hayaaaa

Tembo aonekana Temboni, Makubwa Hayaaaa

Mbuzi leo kala mjani badala ya majani:
14714342-marijuana-leaf.jpg

​
 
Yaani unahisi tembo anapigwa tranquillizer ananyofolewa jino? Una matani na kazi walizosomea wenzio!
Mkuu Sikonge,kinachonisikitisha zaidi kwamba huyu tembo hana pembe,maana yake ni kwamba wajanja wamebeba hizo pembe!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijakusoma kabisa,hivi unaongelea hoja hii au kuna hoja nyingine unayoiongelea?

Anamaanisha Mbuzi Mzee yuko chicha.

In short hapa si Tanzania, sisi hatuna magari ya patrol ya namna hiyo pichani na pale Temboni barabara hazina michoro ya namna hiyo upande wa nje
 
Last edited by a moderator:
Temboni ulikuwa na maana sehemu wanayouzia pombe ya mnazi? Maana hata huyo muungwana aliyelala anaonekana tayari ametumia.
 
Back
Top Bottom