Tembo aonekana Temboni, Makubwa Hayaaaa

Tembo aonekana Temboni, Makubwa Hayaaaa

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
558009_478564862191928_129981976_n.jpg
 
.......... Kwani saa hizi mtu ayekunywa pombe akawa chakari atakuwa ameanza kunywa saa ngapi? au kaamka nazo?
 
Waambie CCM wamwite Dentist wa Tembo haraka sana aje AMTIBU.
Mkuu Sikonge,kinachonisikitisha zaidi kwamba huyu tembo hana pembe,maana yake ni kwamba wajanja wamebeba hizo pembe!
 
Last edited by a moderator:
.......... Kwani saa hizi mtu ayekunywa pombe akawa chakari atakuwa ameanza kunywa saa ngapi? au kaamka nazo?
Mkuu sijakusoma kabisa,hivi unaongelea hoja hii au kuna hoja nyingine unayoiongelea?
 
Back
Top Bottom