Inside10
Platinum Member
- May 20, 2011
- 34,776
- 42,935
Kawimbo kako kazuri! ngoja niongezee chorus:
Nanananananinini oyeeeeee nananananini oyeeeeeee
Meno yote amechukua gamba nanininiii oyeeeeee
hahahahaaaaa
Kawimbo kako kazuri! ngoja niongezee chorus:
Nanananananinini oyeeeeee nananananini oyeeeeeee
Meno yote amechukua gamba nanininiii oyeeeeee
Kitu gani hicho kinachoenziwa sana huko makunduchi?Kwa kawaida kitu hicho ni mali sana na kinaenziwa sana!!
Kitu gani hicho kinachoenziwa sana huko makunduchi?
dentist wa tembo k.i.n.a.n.a keshachukua chake hapo. we unaona meno yapo!Waambie CCM wamwite Dentist wa Tembo haraka sana aje AMTIBU.
awaite wafanye nini mkuu wakati unaona tayari wamefanya mambo yao? Pembe hamna tena hapo!Waambie CCM wamwite Dentist wa Tembo haraka sana aje AMTIBU.
Waambie CCM wamwite Dentist wa Tembo haraka sana aje AMTIBU.
Teh teh teh!TEMBO huyu huyu mnyama nayemfahamu mimi au unamaana tofauti?Tembo! Babaangu.