Qui distrito em tete?Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique
Daah kiongozi maeneo yote uliyotaja wanauza nyama kwa dizaini hii ila hapa ni tete mozambique
Kama hapo ndo bei poa tena sana
afya ya mlaji inazingatiwa kweli
afya kitu gani wewe
unafikiri zile nyama za makopo ndio zenye afya ?
View attachment 198365Haya sasa,hapa ni mnada wa Gendi- Babati-Manyara na minada kibao hapa TZ kunauzwa nyama taka. Tembea uone.