TEMBEA UONE !!!

Mpe mumeo banaaaa....aaaaargh ! Acha uchoyo bidada.

Kwa ushauri tu kidogo ni kwamba inategemea na afya yako. Mwili wako ndio unaotakiwa u-regulate na kupima kiasi/kiwango cha kupeana. Usifanye zaidi ya unavyoweza kuhimili...obey mwili wako na mumeo naamini ataliheshimu hilo.

Vinginevyo, if all other parameters za ujauzito salama ziko ok, then butuaneni tu...hakuna madhara yoyote bidada. But ukihisi shida yoyote nenda hospitali kama ilivyokawaida kwa mimba na matatizo ya kiafya. Usisahau kwenda clinic ya wajawazito eh
 
"Butuaneni tu" Haaaaaaa........ other wise bonge la ushauri kwa bi dada!
 
Mpe mumeo banaaaa....aaaaargh ! Acha uchoyo bidada.

Kwa ushauri tu kidogo ni kwamba inategemea na afya yako. Mwili wako ndio unaotakiwa u-regulate na kupima kiasi/kiwango cha kupeana. Usifanye zaidi ya unavyoweza kuhimili...obey mwili wako na mumeo naamini ataliheshimu hilo.

Vinginevyo, if all other parameters za ujauzito salama ziko ok, then butuaneni tu...hakuna madhara yoyote bidada. But ukihisi shida yoyote nenda hospitali kama ilivyokawaida kwa mimba na matatizo ya kiafya. Usisahau kwenda clinic ya wajawazito eh
mtake radhi mwenzio
 
Back
Top Bottom