Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,577
Mimi nina madhaifu mengi ila udhaifu mkubwa nilionao siwezi kukaa sehemu ambayo haina hewa ya kutosha yaan Oxygen ya kutosha.
Namaanisha kama ukiniweka sehemu ambayo hakuna Oxygen ya kutosha hua nateseka sana tena sana natesekaaaaa, yaan unaweza ukashangaa umeniua bila kutarajia. Na nikijua tu hii sehemu hakuna Oxygen ya kutosha hua naitafuta Oxygen ilipo kwa hali na mali mpaka niipate nikiipata naanza kupata nafuu.
Tuambie wewe udhaifu wako ni upi?