Umeandika utopolo mtupu
hiyo media kuongelewa humu ni kuonyesha udhaifu wao, media inaendeshwa kijanja kijanja, wanakuja na vikampeni visivyoeleweka,kulipia watu kodi wanakusanya watu 20 wanawagawia vibahasha vyenye buku mbili mbili ndani wanasema wamemaliza hawamu ya kwanza ya kulipa kodi, wanatafuta wasikilizaji kwa nguvu kupitia shida za watanzania badala ya kua Wabunifu, hii teleza na Teza nayo imekaa kiujanja ujanja,.
Kama radio inasikika mkoa mmoja kua na subcribers 1m si ajabu tena ni wachache sana, hizo media nyingine zinasikika mikoa karibu yote Uende kuifatilia youtube kwa kutafuta nini wakati unasikiliza kipindi ukipendacho kwa simu yako kitochi au kwa radio yako hapo nyumbani.
Wasafi media haiendeshwi kitaasisi inaendeshwa kwa umaarufu wa mtu na plan zilezile za kik kuendesha mziki wake ndo anazozileta kwenye media, washaulini wawe wabunifu Vikik kik vya hapa na pale haviwezi kuwafikisha popote, Media inapunguza mvuto siku baada ya siku Wasikilizaji na watazamaji wanazidi kupungua,.
Sent using
Jamii Forums mobile app