NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,275
Mi kazi ninayo, ndio maana sina muda kuamini ujinga huu, sasa swali linarudi kwako, umekosa kazi??Labda wewe.
Mi kazi ninayo, ndio maana sina muda kuamini ujinga huu, sasa swali linarudi kwako, umekosa kazi??Labda wewe.
Kubishana na wewe nkupoteza nguvu nishastuka mapema.... Mpuuzieni huyuhehehe umeona mtu kasoma tai-chi anafanya telekinesis.. watanzania kazi ipo! watu kama wewe hakuna njia ya kuwasaidia, imani ukiishika vibaya ndio inawapumbaza hivi.
Em nenda kasome mambo ya maana acha kupoteza muda na huu ujinga.
Unajielewa kweli wewe?Sasa kama una kazi kwa nini uandike.Acha ujinga huna kazi ndio maana ukapata muda hata wa kusoma mambo ya Mshana Jr.Nitolee ujinga hapa,halafu swali lako halina uhusiano na mada husika."Mi kazi ninayo, ndio maana sina muda kuamini ujinga huu,"Kazi yako inahusu nini na kuamini hii mada ya Mshana?Au unanitaarifu nijue kuwa una kazi sana?Acha ulimbukeni,ulishikwa kiuno uamini au?Mi kazi ninayo, ndio maana sina muda kuamini ujinga huu, sasa swali linarudi kwako, umekosa kazi??
Punguza mdomo mtoto WA kikeeeWe mwenyewe hapo umesoma huko huko kwenye hizo blogger acha kutusumbua na mshana wetu.Si ungeleta kabla yake..kudandia tu treni kwa mbelee ili tukuone unajuaaaaa...fyuuuuu.
Sawa mtoto wa kiume.Hujambo?Punguza mdomo mtoto WA kikeee
mmmhhhh!!!,we jamaa,basi anza kuhamisha kutoka wallet za kina Mshana,Mzizi mkavu,Bushland,na wengineo.Nataka kahamisha hela mshana, kutoka kwenye wallet mbali mbali lol
Mpwa usinisahau zawadi ukirudiNaamini unacho kisema mpwa,mimi kama kuna kitu nitakipata keaho yake iwe pesa au chochote tu,rohoyangu huwa cler na nakuwa na furaha sana basi siku inayo fuata lazima nipate pesa,ama huwa najiambia lazima nifaulu huu mtihani basi matokro yakitoka nafaulu vizuri tu,majuzi niliitwa kwaajili ya mahojiano roho ikawa na amani saana matokeo yake nimepata trip ya nje
tuwasiliane kabla hujaondoka