Kijundukila
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 195
- 144
To believe in GOD ni moja kati ya vitu vitakavyofanya IMANI YAKO kukua zaidi na hapa sisemi kuwa wasioamini katika MUNGU hawana IMANI simaanishi hivyo mkuu, lakini pia.
To believe in yourself. Ni moja kati ya kitu kinachoweza kukufanya ukaongeza IMANI kwa asilimia kubwa kabisa. Wengi hawajiamini ndani ya nafsi zao kuwa kitu flani kinawezekana, na sio kwa kusema tu bali kwa kuamini na hapo ndipo unapoikuza IMANI YAKO.
Hivi unadhani ndani ya nafsi yako utakosa kuwa na mashaka/doubts hata kidogo ?, hiki ni moja kati ya vitu vinavyoharibu IMANI YAKO pia, DOUBTS.
Unaweza ukajiuliza kuwa ; hivi kweli naweza kufanya kitu flani ?, Je nikishindwa ?, Unachukua muda wako kujaribu ?, Unapojaribu na uka-fail unaipokeaje hali hiyo ?, ni kawaida au laa ?.
IMANI ; siku zote ni yenye kuyumba na wala haipo kama jiwe kwamba utakuwa na IMANI YA JUU muda wote ; kumbuka kuwa kila mtu ana IMANI lakini IMANI HUZIDIANA/HUTOFAUTIANA.
Kumbuka kuwa haukuzaliwa katika hii DUNIANI ukiwa na uhakika wa asilimia 100 kuwa kitu flani utaweza au kitu flani hautaweza kukifanya, vingi umevikuta na pengine ulikuwa ukiamini kuwa jambo flani sidhani kama ntaweza kulifanya lakini finally ukajikuta ukiweza kufanya jambo hilo, IMANI.
Pambana na sauti yako ya ndani kabisa inayokunong'oneza kuwa kuna baadhi ya mambo huwezi kuyafanya ; pambana na sauti hii kwa kiwango kikubwa mno. Sidhani kama kuna mtu anakosa sauti kama hii ndani yake inayomnong'oneza kushindwa kufanya au kushindwa hata kujaribu kufanya jambo fulani. Kuna kushindwa kufanya na kushindwa kujaribu kufanya, aliyeshindwa kujaribu kufanya ni tofauti kabisa na aliyeshindwa kufanywa kwa sababu aliyeshindwa kufanya hajashindwa kujatibu kufanya hivyo pambana na hii sauti ndani kabisa ya MOYO WAKO inayokunong'oneza kushindwa juu ya jambo fulani unalotaka kulifanya, belive that you can do it and you can.
Kwa sababu, utakapotia doubt tu, nafsi yako itaanza kuskiliza hiyo negative voice deep inside you kwa wakati huo. Utahisi kuwa ni sauti ya nani inayokunong'oneza...?, ni sauti ya mzazi wako ?, ya rafiki yako ?, ya mpenzi wako ?, ya mwanao ?, au ya rafiki zako wa zamani ?, kiukweli utaweza kuskia sauti nyingi tu ndani yako lakini unajua ni sauti za nani hizo ?. Japo ni sauti ambazo zinatoka ndani yako lakini KIUKWELI nataka ujue kitu kimoja kuwa ''SAUTI HIZO SIO ZAKO.'' So, what you have to do from that point...?. Tell yourself that ; "THIS IS NOT MY TRUE VOICE", then start to challenge it and ignore kwa nguvu zako zote sauti hiyo/hizo.
Kingine, geuza udhaifu wako uwe ni STRENGTH ; Mara nyingi tukiwa tuna-focus nafsi zetu kwenye mambo ambayo hayapo sawa juu yetu na kuacha ku-focus zaidi juu ya yale ambayo yapo sawa zaidi juu yetu na nafsi zetu, basi ni lazma tu tutapunguza IMANI juu yetu na hata kwenye mambo ambayo tutataka kuyafanya pia IMANI ITAPUNGUA. Tusi-assume tu kuwa hakuna kitu ambacho tunaweza tukaki-improve ndani ya nafsi zetu, tuamini kuwa hayo ni madhaifu na madhaifu yetu tunaweza tukayarekebisha. Na pia tuamini kuwa sisi hatuna madhaifu tu pekee, pia tuna STRENGTH ndani yetu ambazo zinaweza zikatufkisha sehem ambazo hata hatukutarajia kufika, KAMA TU TUKIAMINI KWA KINA.
Kingine ni kwamba, jipime na wengine ambao umewazidi kiuwezo wa aina yoyote ile, watazame kwa jicho la tatu kisha vaa viatu vyao na jiulize "HIVI NTAWEZA KUFKIA KAMA HUYU JAMAA KWELI" na pia jiulize ukiwa katika hali hiyo "JE, UKIFIKIA HALI KAMA YA HUYO JAMAA UTAFANYA NINI, UTARIDHIKA KUWA HAPO HAPO AU UTA-FIND OUT THE WAY TO DEVELOP YOURSELF MORE & MORE" , utapata jibu ambalo lipo in a NEGATIVE WAY, I HOPE.
Try to coach yoursel, jaribu kuwa kocja wa nafsi yako pale tu inapojitokeza hali yoyote ya kujiona kutaka kushindwa ndani ya nafsi yako, jivue nafsi yako na kisha jiweke pembeni na uanze kuifundisha nafsi yako juu ya wasiwasi uliouhisi na uanze kuifundisha ukiwa umefumba macho yako na kuhisi kuwa unaieleza na kuifundisha nafsi yako kwa nini iogope ?, kwa nini ishindwe kufanya ?, kwa nini isiweze kufanya jambo flani ?, ipe moyo kuwa ni kweli inapotokea hali flani nafsi huwa inapata wasiwasi kidogo lakini haipaswi kuogopa mpaka kufkia hali/hatua ya kujiona eti itashindwa/haitaweza kufanya jambo flani, talk to yourself, sio mara moja tu fanya hili zoezi kila unajihisi unatakiwa kufanya hivyo. Self-belief comes not just by trying to convince yourself you can do stuff. True self-belief actually comes from developing the vision that you can relax socially, start that business, write that book, or whatever it is you need to believe you can do or be.
Jenga tabia ya kukaa chini, fumba macho, talk to yourself everyday hii inasaidia kwa asilimia kabisa kujenga IMANI YAKO NA KUJIAMINI ZAID NA ZAID kwa sababu This powerful visualization exercise means you can learn from yourself how to be confident, have self-belief, and behave in ways which maximize chances of success. Imagine you are viewing yourself on a TV screen. The 'you' in the screen is showing the you watching how to act with self-belief. The more you do this, the more you'll find that you'll quite naturally start to become like the 'you' in the movie.
AU UNANIRUHUSU NIFANYE YOTE HAYO KWA NIABA YAKO...?.
And one thing you'll notice is ; As your self-belief grows, people around you start to believe in you more and more and more.
Ni mengi mno mkuu ila leo acha tu tuishie hapo kiongozi.
KARIBU SANA.
Asante mkuu, umenifungua sana mkuu,