KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 274
Mkuu nadhani utakuwa unajua kuwa dstv sio kituo cha kutengeneza vipindi kama televition station zingineMimi labda nijulishwe tu kwa nini gharama za Dstv ni kubwa sana?
they are here to stay.
<br />Niliawaambia Kuhusu Easy TV humu ndani! Just opt EasyTV... it's best in town
nimenunua decoda ya startimes ni kama nimepoteza hela yangu. Wakati inafanyakazi inagomagoma. Nimewauliza inakuwaje hali hii, wanasema ni antena. Nimebadilisha antena kwa kununua ya kwao, hali ni hiyohiyo. Vipindi vyenyewe havikidhi haja kabisa, kwa ujumla vingi havipendezi.
Wakati huohuo natoa wito kwa mamlaka ya mawasiliano kuhakikisha decoda zote zinakubali kadi za tv zote. Ili mtu anunue decoda moja itayoingiliana na kadi zote kama ilivyo sim kadi za simu na simu zenyewe.
We ulitegemea tsh.9000 kwa mwezi uone nini? mambo yote ni DSTV bana....japo wako ghali lakini wanakonga miyoyo yetuheheeee we acha tuu mi yangu karibiaa natupa huko inagomagoma mara zote
channels za hooovyo wanarudiarudia movies
sibuka na kbc1 zinasauti mbili unaona movie af unasikiliza reggae
stupid zao