Grand Master Dulla
JF-Expert Member
- Jul 20, 2012
- 411
- 146
Km unamaanisha ile kauli ktk nyimbo za muziki wa America ya kusini 'tekelo' ni tamshi ktk kiingereza cha huko na humaanisha 'chukua yote' yaani "take it all' , mwenyewe unawajua wasouth America wapo km wazaramo wa kwetu
Huyu Tekelo alikuwa mmoja au walikuwa wengi wanajiita Tekelo?Ni mganga wa Jadi ambaye alikua anapita kila nyumba kutoa Uchawi enzi za miaka Ya 90'
Alikua Ni mmoja tu, ila badae Watu wakajipachika jina Hilo, ila Asili ya huyo Mtu alikua Mtoa mchawi.
Nimeuliza hivyo maana huyu Tekelo inaonekana kazunguka sehemu nyingi kweli kweli kwenye shughuli hizo za kutoa uchawiAlikua Ni mmoja tu, ila badae Watu wakajipachika jina Hilo, ila Asili ya huyo Mtu alikua Mtoa mchawi.
inasemekana aliruhusiwa kutoa uchawi isipokuwa soko kuu kariakoo na ikulu!
Sent using Jamii Forums mobile app
okok ok
Ni mganga wa Jadi ambaye alikua anapita kila nyumba kutoa Uchawi enzi za miaka Ya 90'