Tekelo ni nani?


Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Messages
384
Points
225
Grand Master Dulla

Grand Master Dulla

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2012
384 225
Jamani naomba kuuliza wahenga kuna anayestuka hata mmoja anapolisikia au kulisoma jina hili la TEKELO? na kama wapo na wanajua habari zake basi
watufahamishe ni nani na historia yake ikoje,asanteni.
 
T

togetherTight

Member
Joined
May 21, 2017
Messages
44
Points
125
T

togetherTight

Member
Joined May 21, 2017
44 125
Km unamaanisha ile kauli ktk nyimbo za muziki wa America ya kusini 'tekelo' ni tamshi ktk kiingereza cha huko na humaanisha 'chukua yote' yaani "take it all' , mwenyewe unawajua wasouth America wapo km wazaramo wa kwetu
 
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Messages
5,838
Points
2,000
NZURI PESA

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2011
5,838 2,000
NI MANYAUNYAU WA MIAKA YA 80-90
 
K

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2015
Messages
286
Points
500
K

kinje ketile

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2015
286 500
Tekelo ni Mchezaji wa Yanga enzi hizo Abeid Mziba,maajabu aliyokuwa akifanya uwanjani na upigaji wake wa mipira ya vichwa akapewa jina hilo.
 

Forum statistics

Threads 1,285,692
Members 494,726
Posts 30,870,375
Top