Tego: Uchawi wa wahehe huko Iringa

Tego: Uchawi wa wahehe huko Iringa

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,105
Reaction score
15,250
Katika safari ya maisha miongo kadhaa iliyopita nilishuhudia mambo ya kichawi mubashara.

Iringa kuna sehemu inaitwa Kihesa...kwa miaka hiyo palikuwa ni kama makazi mapya.

Hapo Kihesa alikuwa anakaa jamaa mmoja ambaye tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni fulani ya usafirishaji.

Hapo Kihesa kwa wakati huo watu walikuwa wanachangamka kujenga nyumba za bati kwa nyakati hizo.

Sasa huyu jamaa yetu kwa tamaa na kukosa hela ya bati aliiba ng'ombe za jamaa fulani pahala fulani.

Kimsingi ilijulikana kabisa ni yeye aliye iba. ....Wazee ndugu jamaa na marafiki wakamsihi aende kutubu na kulipa ng'ombe za watu.

Lakini huyu jamaa yetu alifanya kibri na kuleta zereu,

Ikatangazwa TEGO ...hii ni dawa inatengenezwa.... inauwa mlolongo wa watu kimaajabu maajabu kwa vipindi vifupi vifupi...na muhusika ndio anakuwa wa mwisho kulamba u mauti.

AMINI USIAMINI WATU WALIKATIKA MUBASHARA>>>SABABU ILIKUWA INAJULIKANA WAZI WAZI>>>LAKINI NAMNA YA KUTEGUA HIYO TEGO,,,,ILIKUWA HAIPO>>>JAMAA YETU ALIKUWA ANAKIRI WAZIWAZI KWAMBA TEGO LITAMFIKIA>>
NA KWELI TEGO ILIMPATA....TUKAENDA KUMZIKA MAKANYAGIO.
 
zereu,
Kweli kabisa..nilishaona sehemu..ndugu walikuwa wanakufa kila wiki mmoja.

Wahehe wana uchawi unaitwa lukupi, uchawi mwingine nimeusahu jina unahusisha kulala na Mama mzazi. Usije kujichanganya ukaenda Iringa kutafuta maisha, la sivyo ni ndugu zako watakaokutumia nauli ya kurudi kwenu.

Kosa kafanya mtu X, adhabu wanapata watu X,X1, X2 hadi X9. Huo ni uchawi

Wana paruhengo tulibao.
KAZI ni kipimo cha utu

Sema tu ni uchawi maana yake walienda kumroga ili afe.. arogwe Samia sasa km hilo tego linafanya kazi kweli au ndio zile story za bulicheka na mashairi ya cheka cheka?

Africa bhaana, kwanini hayo matego yasiende kwa watawala ambao wanaiba mali za umma na kuharibu maisha ya watu?

Yaani aliyeibiwa akawaua wale ambao hawakumuibia!?

Huo ni uonevu mkubwa sana! Yeye ange deal na mwizi wake, why? Kwa sababu yawezekana hata hao wasio na hatia walimkanya sana mwizi kwenye hiyo tabia yake!!
Ingekuwa hivyo amna binadamnu angebaki hai.

watu wana maradhi yao ya kifamilia.....

Cc

2026

umelipia tangazo???????????????

imani ni kitu cha ajabu usipo elewa.
albadili????????????????
novena?????????????
zote usaliwa kujibu kitu lakini majibu mengi huwa 0 maana binadamu wengi hawajui mengi na dunia inavyozunguka.

anyway jisomee hapa na mache kuamini GIZA na hewa na vitu ambavyo havipo
Dini rasmi inaitwa the Omnitheistic Singularity jina la Mungu na kitabu kikuu ni Omnipotent Singularity. Imeandaliwa na IIT
 
Wahehe wana uchawi unaitwa lukupi, uchawi mwingine nimeusahu jina unahusisha kulala na Mama mzazi. Usije kujichanganya ukaenda Iringa kutafuta maisha, la sivyo ni ndugu zako watakaokutumia nauli ya kurudi kwenu.
Ilimkuta jamaa mmoja anaitwa MSIMAMO(Jina la Biashara)...alikuwa na mMsimamo Dry Cleaner...pia alikuwa na Basi...lakini mshikaji alifulia mpaka akawa anavaa kandambili rangi tofauti....baadae ndugu zake wakaja mchukua wakamrudisha kwao upareni...lakini ghafla akawatoroka na kuonekana katika vilabu mbalimbali mjini Iringa,
 
Katika safari ya maisha miongo kadhaa iliyopita nilishuhudia mambo ya kichawi mubashara.

Iringa kuna sehemu inaitwa Kihesa...kwa miaka hiyo palikuwa ni kama makazi mapya.

Hapo Kihesa alikuwa anakaa jamaa mmoja ambaye tulikuwa tunafanya kazi katika kampuni fulani ya usafirishaji.

Hapo Kihesa kwa wakati huo watu walikuwa wanachangamka kujenga nyumba za bati kwa nyakati hizo.

Sasa huyu jamaa yetu kwa tamaa na kukosa hela ya bati aliiba ng'ombe za jamaa fulani pahala fulani.

Kimsingi ilijulikana kabisa ni yeye aliye iba. ....Wazee ndugu jamaa na marafiki wakamsihi aende kutubu na kulipa ng'ombe za watu.

Lakini huyu jamaa yetu alifanya kibri na kuleta zereu,

Ikatangazwa TEGO ...hii ni dawa inatengenezwa.... inauwa mlolongo wa watu kimaajabu maajabu kwa vipindi vifupi vifupi...na muhusika ndio anakuwa wa mwisho kulamba u mauti.

AMINI USIAMINI WATU WALIKATIKA MUBASHARA>>>SABABU ILIKUWA INAJULIKANA WAZI WAZI>>>LAKINI NAMNA YA KUTEGUA HIYO TEGO,,,,ILIKUWA HAIPO>>>JAMAA YETU ALIKUWA ANAKIRI WAZIWAZI KWAMBA TEGO LITAMFIKIA>>
NA KWELI TEGO ILIMPATA....TUKAENDA KUMZIKA MAKANYAGIO.
Jamaa yenu naye alikuwa jau sana.Mabati ya nini wakati mvua ikinyesha yanasababisha kelele tu.Angedumisha mila kwa kuezekea nyasi.
 
setence to death

mahakama ya wanyonge naikubali sana hii

nikionaga mtu ananifatilia lia bila sababu mana huwa nawajua nafatiliwa nazoaga unyayo hata kama utavaa kiatu

Yulebabu lazima aka-scan nikishauzoe sikusaba nyingi naona sikuhizi siwaoni tena kama 9 hivi wamepotea
 
Ilimkuta jamaa mmoja anaitwa MSIMAMO(Jina la Biashara)...alikuwa na mMsimamo Dry Cleaner...pia alikuwa na Basi...lakini mshikaji alifulia mpaka akawa anavaa kandambili rangi tofauti....baadae ndugu zake wakaja mchukua wakamrudisha kwao upareni...lakini ghafla akawatoroka na kuonekana katika vilabu mbalimbali mjini Iringa,
Wahehe wanachukulia kama dharau mgeni kufanya shughuli yoyote kwao. Watashindana na wewe kuonesha na wao wanaweza mwisho wa siku kwa ushirikiano na ushirikina watakurudisha kwenu. Iringa ndo mkoa unaokaliwa na kabila moja tu.
 
Africa bhaana, kwanini hayo matego yasiende kwa watawala ambao wanaiba mali za umma na kuharibu maisha ya watu?
Sasa hayo waulizwe wanasiasa maana hata wao huwa wanahusishwa na ushirikina kwenye kugombea nafasi za uongozi.
 
Back
Top Bottom