Tegeta Escrow: Waliochota kwenye Masandarusi watajwa, gari lililotumika kubeba ni la Ikulu

Mimi nachosangaa tu kuona Watanzania wakiwa na imani na ccm tena kutaka iendelee kuongoza baada ya miaka 50 ya kutufikisha hapa
we unadhani mh Mkapa anavyotuita "WAPUMBAVU" anakosea? Lowassa aliposema ELIMU ELIMU ELIMU hakukosea...ccm hawana kura nyingi kwenye miji iliyo na elimu nzuri,hata halmashauri nyingi ni za upinzani kwa sababu UONGO wao hausaidii tena.
 
Yumo Prosper Mbene na Shaban Gurumo.

Haya sasa mambo yanazidi kuwa mambo. Huyu Mkuu Wa ikulu Wa wakati ule anaponaje kwa mfano.

Ila samahanini, nilikuwa nimesahau hatufukui makaburi
View attachment 544873
View attachment 545346 View attachment 545339 View attachment 545338

=====
Ikumbukwe, Ikulu ilimtetea Prosper Mbena:
Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW

Ngoja tuone hii movie.Huenda nayo ikaishia kusubiri uchunguzi kama zinavyoisha zingine.
 
Itafahamika tu....:):):):):):):):):)
 
Attachments

  • IMG-20140418-WA0000.jpg
    IMG-20140418-WA0000.jpg
    33.4 KB · Views: 28
kwani kutajwa ndo
Yumo Prosper Mbene na Shaban Gurumo.

Haya sasa mambo yanazidi kuwa mambo. Huyu Mkuu Wa ikulu Wa wakati ule anaponaje kwa mfano.

Ila samahanini, nilikuwa nimesahau hatufukui makaburi
View attachment 544873
View attachment 545346 View attachment 545339 View attachment 545338

=====
Ikumbukwe, Ikulu ilimtetea Prosper Mbena:
Mke wa Prosper Mbena (wa Ikulu) Alichukua TZS 2 Billion za ESCROW
hukumu?nilifikiri unatuletea hukumu yao maana kuna waliotajwa kwenye majukwaa ya siasa kuwa walihujumu uchumi kwa ufisadi baadae wakaonekana ni ASSETS kwwnye vyama vya kupinga ufisadi, sioni jipya
 
Mpaka hapa JPM keshafeli, maana ishu nzima inaonekana ilianzia ikulu, sasa kulingana na msimamo wake kuwa waache wapumzike wasisumbuliwe ni bora angekaa kimya tu na kutuliza boli
 
Hii nchi bwana! Tumetumainishwa matrilioni ya makinikia lakini sasa kimyaaaaa!!!! Sasa tunaelekezwa akili zetu kwenye fedha za escrow ambazo tuliambiwa si za umma japo kwa sasa TANESCO imeamriwa izikohoe maana hazikulipwa kwa mhusika aliyestahili!
Wakati ule ukidai hela za escrow ni za umma unaitwa tumbili! Leo madai hayo hayo unaitwa shujaa! Hofu Yangu ni kuwa kwa kimya hiki kuhusu makinikia, itafika mahali ambapo ukiyakumbusha unaitwa mchochezi, japo walioyaibua makinikia waliitwa mashujaa waTaifa!!
Hii nchi ni bingwa wa kujigeuza kinyonga cha MTOTO.
 
Atakua yule mshikaji mnadhimu au mnikulu aliestaafu ndie alitoa gari.

Hili la kupambana na rushwa Magufuli baba tunyooshe. Umeonyesha kua uwezo na nia unazo za kupambana na wezi.

Kama hizi hela hazikua za wizi kwa nini zilichukuliwa kwenye masandarusi na mabegi. Hela halali ukazichukue kwa kujificha?

Baba tunyooshe.
Mnajifariji tu.
Kama bado anaamini kuwa waliochoka wanatakiwa wapumzike na hawataki kusumbuliwa hata kama ni wahalifu, sioni nia ya dhati.
Kama ikulu imehusika katika uhujumu uchumi lakini tunaambiwa hata kutaja hao watu waliohusika ni kosa la uhaini, naona tunacheza Isidingo-The Need.
 
H
Hofu Yangu ni kuwa kwa kimya hiki kuhusu makinikia, itafika mahali ambapo ukiyakumbusha unaitwa mchochezi, japo walioyaibua makinikia waliitwa mashujaa waTaifa!!
Hii nchi ni bingwa wa kujigeuza kinyonga cha MTOTO.
Hivi ndivyo itakavyokuwa. Hofu yako ndiyo hofu yangu pia.
Kuongelea makinikia kwa maneno ni kick ya ushujaa. Ila kama ilivyo mambo yote yasiyo na ukweli, huwa kuna time limit. itafikia wakati maneno yatakuwa hayafai, watu watataka "wazione" hizo trilioni, na hapo ndipo kutaja neno makinikia tu au Acacia utakuwa uchochezi wa hali ya juu.

Tusubirie tuone.
 
Vipi TRA yakiletwa masandarusi hayo ya hela kama alivyofanya Ngereja mtayakana kama wenzenu TRL na vichwa vya treni.pale bandarini. Nyie sandarusi holder fanyeni kama kwenye makinikia nyie mpelekeeni jpm huko chato atatangaza kufungua bakuli la marejesho
By the way, wadau wa TRA, TRL na TPA humu JF tuambieni: Vile vichwa vya treni bado vipo bandarini au mwenye navyo ameshapatikana?
 
Comrade uko sahihi
JPM anapambana na kivuli cha waliomtangulia
Kazi kweli nchi hii

Viongozi wachache wasio na uzalendo ndio wanarudisha nyuma Taifa hili

Chief Economist
Mi nadhani viongozi wasio wazalendo ndio wengi na si wachache.
 
Hivi ndivyo itakavyokuwa. Hofu yako ndiyo hofu yangu pia.
Kuongelea makinikia kwa maneno ni kick ya ushujaa. Ila kama ilivyo mambo yote yasiyo na ukweli, huwa kuna time limit. itafikia wakati maneno yatakuwa hayafai, watu watataka "wazione" hizo trilioni, na hapo ndipo kutaja neno makinikia tu au Acacia utakuwa uchochezi wa hali ya juu.

Tusubirie tuone.
Naunga mkono hoja...nadhani zuio la kutaja FARU JOHN bado lipo na halijaondolewa...

kutaja MAKINIKIA AU ACCACIA kunaweza kuwa sababu ya watu kuingia jela mwishoninmwa miaka ya 2020 kuekekea uchaguxi mkuu....

NAOMBA MAONO YANGU YAHIFADHIWE.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulifundishwa tuseme pesa si za serikali hata waziri mkuu analijua hilo wakati huo akiwa Tamisemi na rahisi akijenga
 
By the way, wadau wa TRA, TRL na TPA humu JF tuambieni: Vile vichwa vya treni bado vipo bandarini au mwenye navyo ameshapatikana?
Kila mzigo unaoingia bandarini una CONSIGNOR (aliyetuma) na CONSGNEE (mpokeaji). Kifupi mwenye vichwa hivyo anafahamika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom